Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,560
Wana JF.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa JMT, Mh. Edward Lowassa pamoja na mamia ya wananchi mbalimbali bila kujali itikadi za vyama, pamoja na viongozi mbalimbali wameungana kwenye mazishi ya aliyekuwa mbunge mstaafu, Mh. Beatrice Shelikundo yanayofanyika jiji Arusha leo.
Bwana alitoa. Bwana alitwaa. Jina lake lihimidiwe. Amen.