Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

kale ka statement ka kukataa zoezi la bashite la kuwatokomeza kina james deli kamemponza.
 
Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni

Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?

Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.

Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..

CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM

Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Mh Lowassa amerudi nyumbani.full stop.
 
Kweli nakumbuka walisema Chadema imenunuliwa 10 billion, Mbowe kapokea malipo.

Tunaomba kujua Mbowe amerudisha pesa? CCM imenunuliwa kwa bei gani?

Siasa za Tanzania tamu sana.
Mh Lowassa karudi nyumbani
 
Ndugu zangu Watanzania huu ndio wakati Muafaka wa kuihama CCM na wala msijihusishe nayo na wala msiipie Kura iogopeni kama ugonjwa wa Ukoma.
Uhame ccm , chama imara cha siasa uhamie ufipa saccos , no Big no.
 
Hahahahaha lol! Nasikia ni partnership na lile fisadi lingine Rostam Aziz. Si umeliona Ikulu imekuwa kama nyumbani kwake na huyu Rostam Kikwete alitaka kumfukuza kwa kudai anakichafua chama leo hii amekuwa LULU!

Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni

Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?

Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.

Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..

CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM

Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
 
Nitaanzisha mahakama ya mafisadi na nitayafunga yote, mafisadi yameanza kunikimbia yanakimbilia huko kwenye vyama vya upinzani, ..JPM 2018.. Karibu sana nyumbani tena bado una fanana na CCM, karibu sana. JPM 2019...Halafu bado kuna mtu anasubiri alipwe hela za makinikia, na korosho?!!!!! Acheni tu Mkapa ajiuzulu hata huo upatanishi maana Nyumbani kumechacha na yeye ndie alie tia ndimu chachandu, Nkurunziza hataki ujinga kabisa alimuacha na unafiki wake mwenyewe kaona haya kaachia ngazi.
 
Weka Akiba ya maneno

nani sasa wewe au?

ukiingia kwenye dunia ya sisa, kuna upande utausema vibaya hapo?

au wewe ndio umejiweka kwenye angle ambayo kuna maswali ukiulizwa hauwezi kujibu

alichofanya EL, huwa akifanyiki sehemu zingine za dunia!! mgombea urais mpinzani aliyepata kura nyingi sana anarudi kwa mpinzani wake??? na bado bila aibu unaanzisha thread

una roho ngumu
 
IMG_0701.JPG

Back
Top Bottom