Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

Wew ndio una ny,,ege kabisa! Li mtu linakaa marekan halaf linakashf maon ya wtz yanayoporwa! Nina was was unashirk mapenz ya jinsia moja tena ww ndo unapretend to be woman
Huyu mtu ana matatizo...labda atangaze matokeo ya majimbo yote yaliyotangazwa ili tuone tofauti na uongo wa Tume...nje ha hapo bado Urais anaona ni wake..
 
Kubali kushindwa kuliko kutaka kuvuruga aman ya nchi na kumbuka umeanza kuing'ang'ania kuingia ikulu tangu mwaka gan lakn inashindikana kaa jiulize na fikilia ni kwann kwahiyo jua huna bahat ya kuingia ikulu usilazmishe kwenda ikulu wakati umeshindwa mzee
 
Wew una nye,,,,ge kabisa ! Hujui chochote cha humu nchin! Unapanukwa tu! Matatizo unayo wew unaeshiriki mapenz ya jinsia moja hapo bronklyne
Huyu mtu ana matatizo...labda atangaze matokeo ya majimbo yote yaliyotangazwa ili tuone tofauti na uongo wa Tume...nje ha hapo bado Urais anaona ni wake..
 
Ana haki,ingawa it is an extremely dangerous move.Uchaguzi haukuwa haki na huru kabisa.It was obvious.
Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na UKAWA, leo saa 4:30 asubuhi anazungumza na vyombo vya habari vya hapa nchini na vya kimataifa.


Katika mkutano huo anatarajia kutangaza maamuzi magumu kuhusu mchakato wa matokeo ya urais yanayoendelea sambamba na kile kinachotokea Zanzibar sasa.

Mkutano unafanyika Ngome.

attachment.php

 
Angalia hii
Jimbo la Bumbuli ndilo litakuwa mfano wa wizi wa kura. Kwani matokeo ya kura za urais kura halali ni karibu 40,000 na Magufuli anatajwa kupata 35,310 huku Lowasa akitajwa kupata 7,928! lakini katika matokeo ya ubunge kwenye jimbo hilohilo jumla ya kura halali ni 20,522 na mshindi ambaye ni january makamba amepata kura 17,805 ambapo aliyemfuatia ana kura 2403.
Maana yake kuna watu zaidi ya 20,000 walipiga kura za urais lkn hawakupewa karatasi za kura za ubunge!

Mi nikidhani ndo mana fomu ni tofauti kwa sababu idadi ni tofauti. Mfano mi raisi nilimpa chama changu mbunge na diwani chama kingine. Hapo bila shaka idadi za wapiga kura zitakuwa tofauti kituoni kwangu.
 
Nishajipanga....full combat... jambia kama ya mashlat ni zamu y ile rangi nyekundu kweny bendera kufanya kazi
 
Mwanakijiji wewe ni mpumbavu , mshenzi mbeba mabox uliyeshindwa maisha, huna akili huna chochote ni sawa na mbwa koko, unajitia usalama wa taifa acha na koma kabisa kumtukana Lowasa na kutufanya watanzania wajinga kuliko wewe, wewe huna chochote huna maisha kazi ni kubeba mabox unawezaji kujiona una maamuzi mazuri kwa nchi yetu kuliko sisi tunaoishi maisha haya kila siku, mbwa kabisa na nifungiwe i do not care hatuwezi kuruhusu hili

Punguza Muhemko Dada
 
Andamaneni, Mle kipigo magazeti yapate cha kuandika. na picha za front page za jasho na damu. kweli Mkapa hakukosea kuwaita Malofa
 
Back
Top Bottom