Edward Lowassa ametembelea kituo cha kulea watoto yatima cha UMRA kilichopo Magomeni

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Dini iliyosafi ni kuwaona yatima ,wajane na masikini.

Leo Mh Edward Lowassa ametembelea kituo cha kulea watoto yatima cha UMRA kilichopo magomeni
13509011_1174580622566849_3127485014332007122_n.jpg
13511962_820417408094721_1911125126187952980_n.jpg
13512230_820417454761383_4866860902977143109_n.jpg
13466341_1174580692566842_5474458829472550790_n.jpg
 
Hii ndiyo kazi inayomfaa kwa sasa kwa sababu anarudisha kile ambacho alikichukua bila ruhusa kutoka kwa wananchi pamoja na kwamba amepata faida kwa njia ya riba.

Ninafahamu kazi ya kuchunga ng'ombe kama alivyoahidi imemshinda kwa sasa.

Kazi ya siasa awaachie kina Mbowe ambao wanajua kuifanya na kuicheza.
 
Naona meanza kuweweseka na baado si mlisema nguvu za soda
 
Back
Top Bottom