figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,481
Waziri Mkuu wa zamani na aliye kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia UKAWA kwa tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa, ameitaka Serikali ya Tanzania na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar, ichukue hatua za haraka sana kutokomeza kikundi cha Mazombe.
Kikundi hicho kimekuwa kikipiga watu hasa wa CUF na kuharibu mali zao huko Zanzibar na Serikali ikiulizwa wanasema hawajui na hawajawahi kukisikia. Wanakuja wamevaa soksi kufunika nyuso zao wanafanya yao na kuondoka. Si polisi wala nani anayekemea swala hili.
Kikundi hicho kimefanya watu wa Zanzibar waishi kwa Uoga.
Vilevile ameitaka CCM iheshimu kwamba CUF imeshinda Uchaguzi Zanzibar