Edward Lowassa afunga mafunzo ya madiwani na viongozi wa CHADEMA Jiji la Dar es Salaam

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifungua mafunzo ya madiwani na viongozi wa majimbo ya chama hicho katika mkoa wa Dar es salaam mchana wa leo.

IMG-20161205-WA0044.jpg
 
Wazee wenzake wamepumzika yeye bado tu anajichosha. Hivi huo Urais ni lazima? kwa umri huu bora angetulia akilea wajukuu anajitesa sana maskini namuonea huruma
 
Kuandaa mazingira ni muhimu,pongezi kwake kwani hana visasi km anayetaka watu waishi km shetani.
 
Wazee wenzake wamepumzika yeye bado tu anajichosha. Hivi huo Urais ni lazima? kwa umri huu bora angetulia akilea wajukuu anajitesa sana maskini namuonea huruma
Jionee huruma kwa umaskini ulionao.
 
Back
Top Bottom