MPANDA Jr
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,295
- 157
Wana GT...
Kabla sijaandika mengi naomba kuweka kumbukumbu sahihi kwamba Edward Lowasa ALIJIUZURU uwaziri Mkuu kwa kashfa ya ufisadi, wala hakustaafu.
Lakin leo naona kundi kubwa la viongozi wa dini wakimpapatikia mhujumu uchumi huyu eti kwa sababu tu anagawa Dau kubwa ukimwalika kukuchangia ujenzi.
Leo nimesikia TANGAZO likinadi harambee ya ujenzi wa nyumba ya ibada, na mchangiaji mkuu ni Lowasa. Mimi kinachonikera mimi sio kujenga, kuchangia au kuhamasisha dini, bali ni namna Lowasa personally anavyojibaraguza kugawa fedha alizotuibia kupitia ufisadi. Pia nawashangaa viongoz wa dini wanapomsafisha Lowasa kwamba ni mwema. Maandiko ya dini zote yanapiga marufuku UNAFIQ na UPENDELEO kwa minajiri ya kujipatia fedha.
Lowasa anautaka urais kwa njia ya kidini?