Edward Lowasa alikuwa sahihi ktk hili?au bado pia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward Lowasa alikuwa sahihi ktk hili?au bado pia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RealTz77, Nov 30, 2009.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  CARACAS, Venezuela - Hugo Chavez says he is starting to "bombard" clouds now that Cuba has provided Venezuela with cloud-seeding help in an effort to produce rain and alleviate the effects of a severe drought.
  The Venezuelan president said Saturday night that specialized equipment, sent by Fidel Castro and Cuban President Raul Castro, is starting to be used to seed clouds from planes.
  "We're bombarding clouds," Chavez said during a televised speech. "We have some planes there, and some equipment that Fidel and Raul sent us."

  Alisema au former PM Edward Lowassa, kumbe haya mambo yapo ni kwamba alikuwa na uchungu na nchi yake kwa maana ya kuiona inaenda mbele! sasa Chaves na Wacuba hapo sijui watz tutawaona nao malimbukeni km alivofanyiwa EL?kazi hapo!
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Nov 30, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nchi hii hatuna shida ya maji, hatuihitaji hiyo sanaa, kudiverge maji mto Rufiji kupeleka kwenye miradi ya umwagiliaji ni ghalama nafuu kuliko sanaa hiyo, mamilioni ya lita ya maji hupotea bure baharini.
  Viongozi wetu wanahangaika na miradi yenye ten percents.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,561
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Usahihi wa plan ni utekelezaji na outcome, no matter how good the plan can be, kama utekelezaji ni zero, that means zero output ni ZIRO TUU!.
   
 4. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Did you know how much will cost in implementation? TOO MUCH COSTIIIIIIIIIIIII!!!!!
  Au ndo yaleyale ya kula majani dege la rais linunuliwe?
   
 5. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  naamini kwa ukweli hili ndo jambo halisi, mnakumbuka serikali ilitaka kufanya land reclamation wakati hata 4/5th ya ardhi yetu haitumiki? ukifika kimara ni squaters tayari, mjini humu wanabananisha mijengo ili tu mradi wa kureclaim land ufanikiwe,viongozi wetu wanakimbilia pale penye ulaji mrefu, otherwise hawatumii bongo zao wala kusikia ushauri!!
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Lowassa was motivated by the amount of loot he was going to get from the project and not his patriotism!
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  Mafisadi watawanunua mpaka basi...baada ya lowasa kupata habari kakutuma utuulize sisi.....haya ni maneno mbofumbofu ndio maana hakuna mahali ilipowahi kufanyika
   
Loading...