Educational reforms that have been made by Tanzanian Government since 2000's

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
672
687
Hi to you all ladies and Gentlemen, ni imani yangu kua mpo salama kabisa,

Niende moja kwa moja kwenye haja/hitaji
Naamini hapa jukwaani wapo wataalam mbalimbali wenye kuyajua mengi, sasa kwa wale ma intellectuals naomba mnisaidie
Educational reforms that have been made by Tanzanian Government since 2000's , mjuvi tafadhari afanye ku analysetu kama zipo mbili au tatu au kadhaa anisaidie ili niweze kuona ni reform ipi naeza kuifanyia research,
maana pia kuna resech inayo husu elimu najaribu kuifanya.

Nawasilisha hitaji kwenu ninyi wana jamvi.
 
Back
Top Bottom