isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Education seriously needs an update, It still teaches us the things that have already been made easier to do.

It feeds in information instead of bringing out ideas. Creative education is almost gone, nobody talks about creativity and innovation.
If a doctor gives the patient of cholera, the medicine of Tuberculosis, how ridiculous would that result be.!!?? The same goes for education. For instance, if someone interested in music and dance would be taught engineering and kept away from dance and music, our world would never get a Michael Jackson, J Balvin, Daddy Yankee, Anitta, Diamond Platinumz, Sauti Sol, Anne-Marie, Dua Lipa and co.

There is so much to write about this topic, we need an update in education similar to operating systems, cars, mobile devices, etc. Everything changes with time, why not the education system.!?

A curriculum of Math, English and Science in Junior High - the children should be able to choose their other Electives. High School should be a series of "Life Skills", with advanced English, Math and Science. College should be Trade Focused, minus Electives.
High schools should decrease the length of school days to allow time for students to learn about the things they curious about. Boredom breeds creativity and standardized tests breed students who feel they will never achieve enough and will always compare themselves against others. We need to change this! Together, Stronger! Together for the changes.
 
Sehemu gani hapa duniani kuna education system nzuri???? Hata wazungu nao wanalalamikia issue hiohio. We cha muhimu ni kujiongeza, ukiona system inakuboa achana na shule kajitengenezee system yako ww mwenyewe ya elimu na uitumie kujifundisha. Utakaa unalalamika hadi lini sasa. Ndo maana technologists wengi ni dropouts coz system za elimu nchini kwetu haziwafai watu wanaotaka kusoma for practice, bali inawafaa wale wapenda kukariri na kupata grades nzuri tu,
 
Ndio Kali Linux, lakini kwa nahisi kwa hapa sio kuwa bad tu bali ni worse. Tujitahidi japo kubadili maana vizazi vijavyo vitakuwa na hali isiyofahamika.
 
Ndio Kali Linux, lakini kwa nahisi kwa hapa sio kuwa bad tu bali ni worse. Tujitahidi japo kubadili maana vizazi vijavyo vitakuwa na hali isiyofahamika.
Yeah ni kweli hali ya bongo ni mbaya sana ktk swala la elimu. Na tatizo kubwa ni kwamba elimu wameiingiza katika siasa. Yaan wanaforce kuonesha ufaulu umeongezeka kwa kuwaletea wanafunzi mitihani rahisi, ili tu wazazi wajue serikali imejitahidi kukuza elimu thn waje wapigiwe kura baadae.

Ila endapo elimu ingekua inaendeshwa na chombo independent kama vle inavyoendeshwa mahakama,yaani hakuna muingiliano wa kisiasa siasa, Hapo elimu yetu ingekua nzuri coz policies zingewekwa zinazo lenga kukuza elimu na sio kunadi siasa kupitia maendeleo feki ya elimu.
 
Na kama umegundua kuna mfumo unatumika wa kuja kilazima ndio maana mitihani hairudi.

Wanasingizia sayansi huku arts wakikatwa kwa lazima sababu wanaona endapo watapokelewa hawana jinsi ya kuwa-accommodate hivyo wametengeneza michujo ikiwa na maana kwao.
 
Back
Top Bottom