Nani zaidi kati ya Edo Kumwembe vs Shaffi Dauda

Edo knows,
Shaffii anasubiri kwa Edo.

Ila kwa nafasi anayopata Geofrey Lea,anawafunika wote. Great potential.
 
Kuna mmoja kati yao ana IQ kubwa kuliko mwenzie na hivyo inampelekea kuwa uelewa wa mambo mengi ata tofauti na michezo lakini yenye uhusiano na michezo najua wote mnajua ni nani kati yao.
 
wakuu nimeamua kuleta uzi huu kwenu ili kutaka kupima kati ya wachambuzi hawa mairi wa Soka nchini ni yupi mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua soka la Nchini na nje ya nchi.

ni hayo 2,karibuni kwa kuchangia.

Edo Ni Mchambuzi Bora Wa Tanzania, Ningeweza Nikasema Afrika Mashariki Ila Kwa Bahati Mbaya Siwafahamu Wachambuzi Wa Nchi Jirani, Kwa Upande Wa Shafih Ni Mchambuzi Wakaiwa Sanaaa, Hagusi Level Za Edo.
 
Edo yupo juu kuliko dauda. dauda anaongozwa na hisia zaidi badala ya kutafakari mambo kwa kina. Ila huyo likeay ni mzee wa historia tu hana lolote. Kipindi kile alibamba sababu alikuwa peke yake katika anga hizo, ndio akaonekana kama nabii.
 
Eddo ni mkali....
Shafii Ana copy na ku past..
Kinachonifanya ninunue gazeti la mwanaspoti kila weekend mojawapo ni ukurasa wa Eddo..

Jamaa namkubali nabali sana.!!
Eddo aliiga uandikaji wa makala za kispoti kutokwa Mr. Liverpool (Kimwaga), baada ya jamaa kuandika makala ya Mr. Liverpool na zile mbwembwe zake, na Eddo akaiga uandikaji wake....

Lakini ni mzuri zaid ya Shafii mbishi kwenye uchambuzi wa soka!
 
Edo Yupo Vizuri Kwenye Anga Za Uchambuzi Wa Soka Na Ni Udhalilishaji Wa Kiwango Cha Juu Sana Kumlinganisha Na Shafii Dauda. Edo Anauwezo Mkubwa Kiupeo Katika Mambo Mengi Huhusianisha Soka Na Mambo Mengine Ya Kijamii
 
Liky anajua nini nyie... yule mzee mbabaishaji hakuna anachojua ktk uchambuzi zaidi kukumbushia matukio ya zamani.

Sio wewe tu, watu wengi humuona.kama nu mchambuzi mahili.

Ukimchunguza vizuri hakuna ambacho huwa anachambua zaidi ya kueleza visa na historia ya zamani kwa timu husika.

dr liki humjui wewe! liki anakupa historia za timu kabla ya mechi na kutokana historia anakwambia nn kinafata na matokeo yanakuja vilevile, liki ni level nyingine bwana! kama vp waulize shafii na edo wanamzungumziaje liki watakwambia
 
Edo yupo juu kuliko dauda. dauda anaongozwa na hisia zaidi badala ya kutafakari mambo kwa kina. Ila huyo likeay ni mzee wa historia tu hana lolote. Kipindi kile alibamba sababu alikuwa peke yake katika anga hizo, ndio akaonekana kama nabii.

Mkuu Edo ni hatari kweli zaidi ya dauda..lakini hawa wote kwa Dr.lick watasubiri sana yule mzee ni nomaa bwana!
 
dr liki humjui wewe! liki anakupa historia za timu kabla ya mechi na kutokana historia anakwambia nn kinafata na matokeo yanakuja vilevile, liki ni level nyingine bwana! kama vp waulize shafii na edo wanamzungumziaje liki watakwambia
L

Hate me at your own risk
 
Ivi kwa nini Edo hajachukua form ya kugombea nafasi yoyote pale tff?mana kina Edo ndio watu wa mpira braza anajua unaongea nini na wakati gani Huyu angelitendea hali soka letu
 
Kumlinganisha Edo Kumwembe na Shafii Dauda ni sawa nakumlinganisha Msuva na Ronaldo CR7

Edo ni next level.
 
Liky anajua nini nyie... yule mzee mbabaishaji hakuna anachojua ktk uchambuzi zaidi kukumbushia matukio ya zamani.

Sio wewe tu, watu wengi humuona.kama nu mchambuzi mahili.

Ukimchunguza vizuri hakuna ambacho huwa anachambua zaidi ya kueleza visa na historia ya zamani kwa timu husika.
Roho mbaya ni ugonjwa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom