Nani zaidi kati ya Edo Kumwembe vs Shaffi Dauda

Edo Kumwembe yupo juu zaidi lakin mkubwa wao Ni Dr Lik Abdalah huyo ndio funga kazi sijui yupo wap siku hizi huyu Mzee.
 
hapo ckuung,dr liky anajua wewe.

Liky anajua nini nyie... yule mzee mbabaishaji hakuna anachojua ktk uchambuzi zaidi kukumbushia matukio ya zamani.

Sio wewe tu, watu wengi humuona.kama nu mchambuzi mahili.

Ukimchunguza vizuri hakuna ambacho huwa anachambua zaidi ya kueleza visa na historia ya zamani kwa timu husika.
 
June 5 1882 tuko mjini Lindi mimi Blayi wa mpwapwa, malehemu advocate Kumwembe na rafiki yetu Sengwaji tuko mtaa wa kawawa jioni tunasubili wahindi watoke msikitini ili rafiki yetu Mhindi Aziz BHANJI atuonyeshe mechi kati ya Argentina na Brazil iliyochezwa tarehe 2 june 1982 kwenye fainali za kombe la dunia zilizofanyika Spain. Wahindi hao walikuwa wanapata kanda zilizorekodiwa kwa makanda ya video yale makubwa kama kitabu toka television of Zambia. Mechi hiyo mufu kati Brazil na Argintina alifungwa Argentina 3.1 lakini mchezaji wao mahili Maradonna alipata kadi nyekundu.


Kufika hapo Sengwaji akaropoka yaani Maradonna anacheza kuliko Pele ndo pale Advocate kumwembe akang`aka huwezi kumlinganisha Pele na Maradonna hata siku moja. Sasa katika motion hii Kumwembe na shafiih nani zaidi , mimi namponda moja kwa moja Kumwembe kwa ukosefu wake wa adabu wa kupingana na baba na hisi ni baba yake maana wamefanana. Yaani mala nyingi tu amekuwa akichambua eti Maradonna ni zaidi ya PELE wakati hata FIFA wamewahi kusema Pele si wa kulinganisha na mtu yoyote katika usakataji wa gozi hapa duniani labda sayari ingine kwa hiyo simfagilii hata kidogo Kumwembe kwa utovu wa adabu huo.
 
wanajamvii habarii zenuu
huwa navutiwa kuwasikiliza hawa magwiji wa uchamvuz wa soka hapa bongo lkn kuna wakati nakuta watu wakiwapambanisha mtaani kwetu, sasa nimeleta huu mjadala kwenu je yupi anajua kuuchambua na kuujua mpiraa vizurii?
 
shafii dauda ni shabiki wa man u ila edo hajulikani huyu ndio mkali
 
Cha msingi unamkubali nani, binafsi nadhani Edo ana jipaji zaidi ya Dauda. Ingawa Dauda yupo powa nae


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Sijui nimchague yupi ni Mkali zaidi ya mwenzake.
Edo sikosagi Makala zake hata siku moja.
Dauda naye ivyo ivyo sikubaliki kukosa kipindi chake hata kwa dakika moja.
 
Liky anajua nini nyie... yule mzee mbabaishaji hakuna anachojua ktk uchambuzi zaidi kukumbushia matukio ya zamani.

Sio wewe tu, watu wengi humuona.kama nu mchambuzi mahili.

Ukimchunguza vizuri hakuna ambacho huwa anachambua zaidi ya kueleza visa na historia ya zamani kwa timu husika.


umepiga mbizi kwenye kokoto...........
 
Kwa uwezo aliokuwa nao Edo inabidi apambanishwe na mtu kama Dr Riky,Shaffih bado sana aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom