Edo Kumwembe: Senzo ame prove ni Bomb na Yanga ni Washamba Hawajielewi

Status
Not open for further replies.
Mikia wanapata shida sana hizi thread zote wanatafuta kwa kutokea 😅😅😅😅 mwingine uko hajapenda mopao kuja siku ya mwananchi. Tulieni mikia
 
litombo tukonae sasa yule kijana wenu morison ache tabia yake kuvua nguo hasije kusema hatumwambia
 
Haya Mautopolo siyo level ya Simba kabisa ni vile tunacheza nayo ligi moja basi kiherehere wanaiga kila kitu alafu kila wanachofanya wanajitambulisha kupitia Simba ili waonekane na wao wakubwa, sasa akili hawana wanaenda km makondo mwisho wa siku yamepotea njia haya yanarudi nyumbani sasa.
Hii timu ilitakiwa ifanyie shughuli zake shelisheli sio bongo
 
kuna wajinga wanaamini eti miquissone atakuwa utopolo

dahh kiwango hichi cha ujinga ni level kubwa

inabidi walipe tozo ya ujinga wao
Ache kula mema ya Dunia akale maharage utopoloni, huwezi amino Yanga kaenda Morocco kabeba debe tatu za mahindi na mbili za maharage sasa kule hakuna Kuni wamerudi nayo
 
Relax mbona povu mkia wewe

Back
Top Bottom