Edo Kumwembe: Senzo ame prove ni Bomb na Yanga ni Washamba Hawajielewi

Status
Not open for further replies.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,386
Na Edo Kumwembe

Mpaka pale tutakapopata sababu ya ukweli ni kipi kimewarejesha Yanga haraka hapa Tanzania kwa sasa tukubaliane na mambo yafuatayo.

1. Yanga wamekosa uzoefu (experience) ya safari za Kimataifa hapa tunazungumzia uongozi kutokuwa na uzoefu wa kujua logistics za mambo mbalimbali mnapokua ugenini hasa kipindi hiki cha Covid-19.

2. Yanga wamekosa Exposure hapa tunazungumzia ufahamu wa mambo mengi Kimataifa (nadhani Senzo ametuangusha hapa) kama amepewa nafasi ya kufanya yale ambayo amepasa kufanya.

Nadhani awali tulimuona CEO wa @simbasctanzania Bibie Barbara Gonzalez kama Vasco Da Gama vile, lakini sasa tutaelewa nini alikua anaenda kufanya.

Mfano, unatakiwa kujua hata hali ya hewa ya kule unakokwenda kwa wakati husika, hili liliwafanya Yanga wakimbilie kukaa Marrakech mahali ambapo kipindi hiki kuna joto kali sana! (tuwasamehe pengine ni vile ilikua safari ya offer)! Waswahili wanasema "Zawadi ni zawadi chukua" unaweza kuletewa Sweta kipindi cha joto huna budi kupokea tu hakuna namna.

Vingi vimbele, Let me us wait and see. Acha Tusubiri sasa Surprise ya Wiki ya Wananchi, tukumbuke tu kuna surprise za aina mbili, ile ya kuwashangaza wengine na kuna ile ya kujishangaza wewe mwenyewe!!

Yanga kiufupi wameonyesha ushamba usio mithirika kwenye maandalizi yao .

Huwezi kwenda pre season bila kucheza hata mechi ya kirafiki.

Pre season ya siku 6 uliona wapi .

Hawa wamejiandaa kushindwa kabla ya kuanza safari.
===

Edo Kumwembe akanusha taarifa hii tazama hapa chini:

1629815918947.png
 
kuna wajinga wanaamini eti Miquissone atakuwa utopolo

dahh kiwango hichi cha ujinga ni level kubwa

inabidi walipe tozo ya ujinga wao
Tena ukiwakuta mitaani wanaapa kabisa"wallahi tena Merqueson anakwenda Yanga'we ngoja siku ya mwananchi utamuona akitamburishwa"nawaangalia nabaki kusema"hii baghosha"
 
Status
Not open for further replies.
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom