Edo Kumwembe ni mzuri wa kuandika ila sio kwenye TV au redio

Edo...kwenye kuandika yuko vizuri sana...nakumbuka nyuma ya pazia, jicho la mwewe na hisia zangu...bahati mbaya magazeti tena yanaenda kuwa replaced na mitandao...kuchambua kwa kuongea hawezi...
 
Huo ndio ukweli mchungu
 
lejendari edo namkubali kinyama huwa nanunua gazeti ikiwa tu kuna makala ya edo !jamaa anaandika huchoki kusoma kabisa
 
Back
Top Bottom