BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,020
- 8,480
TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi na wala hajakosea hata kidogo bwana Edo" ingawa kwangu mimi bado nitaendelea kuwakubali (Lion Messi and Diego Armando Maradona) ndiyo wachezaji bora ever...ever...,hakuna mchezaji yeyote wa kuwakaribia wawili hawa.... ameongeza tena kwa kusema "Wengine sura zinakataa lakini mioyo inakiri" wako wengi sana wa namna hiyo, hata humu tunao wengi tu 😀
"Naomba tuchangie kwa heshima bila kuingiza Matusi, dhihaka, kejeli n.k
BlackPanther