Edo Kumwembe atoa ya moyoni kuhusu Messi

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
8,161
2,000
Screenshot_20211130-120224_Instagram.jpg


TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi na wala hajakosea hata kidogo bwana Edo" ingawa kwangu mimi bado nitaendelea kuwakubali (Lion Messi and Diego Armando Maradona) ndiyo wachezaji bora ever...ever...,hakuna mchezaji yeyote wa kuwakaribia wawili hawa.... ameongeza tena kwa kusema "Wengine sura zinakataa lakini mioyo inakiri" wako wengi sana wa namna hiyo, hata humu tunao wengi tu 😀


"Naomba tuchangie kwa heshima bila kuingiza Matusi, dhihaka, kejeli n.k

BlackPanther
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
8,161
2,000
Kwahiyo yupo sahihi kuliko kina klopp,hans flick na majority ya mashabiki wengi wa soka duniani?
Messi ni mchezaji wa kipekee sana,lakini tuzo ya jana hakustahili.
5 amazing achievements which make Lionel Messi the favourite to win the 2021 Ballon d'Or award
Haya weka na wewe 5 amazing achievements ya uliependa apewe
 

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
2,224
2,000
View attachment 2029582

TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi na wala hajakosea hata kidogo bwana Edo" ingawa kwangu mimi bado nitaendelea kuwakubali (Lion Messi and Diego Armando Maradona) ndiyo wachezaji bora ever...ever...,hakuna mchezaji yeyote wa kuwakaribia wawili hawa.... ameongeza tena kwa kusema "Wengine sura zinakataa lakini mioyo inakiri" wako wengi sana wa namna hiyo, hata humu tunao wengi tu


"Naomba tuchangie kwa heshima bila kuingiza Matusi, dhihaka, kejeli n.k

BlackPanther
Eddo.sio Mwandishi wa habari futa kauli yako.
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,712
2,000
Kwangu mimi pele ni nambati uno.. yule mzee alikuwa hatari mnoo..

1. Pele
2. Pele
3. Messi

Huko kwingine watajuana wenyewe.

Ila nambari 9 bora ni de lima huyu hakuna atakaebisha mpaka dunia iishe.
 

Fredy Frank360

Senior Member
Dec 25, 2018
126
250
Mimi huwaga namwita MESSIAH mchezaj anayekuofa kila kitu kuanzia Magoli Assist driblle ma frick kama yote yani mtu mmoja anakuoffer vtu zaid ya 10 aafu uje frm no wher umpe mtu Tunzo eti kisa magoli s utakuwa chizi aiseeee

Kwa mm wachezaji bora kuwahi kutokea Duniani namba moja
1.MESSIAH
2.MESSIAH
3.PELE
4.ARMANDO MARADONA

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
9,956
2,000
messi ni burudani sio soka tu..
Ananifanya bia yangu iteremeke vizuri kooni..
 

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
2,000
1. Messi
2. Ronaldinho

Hawa ndio wachezaji ninaopenda kuwatazama wakicheza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom