Edo Kumwembe: Afrika ni bara la Kipumbavu zaidi kuliko Mabara mengine yote hapa Duniani

Nimejizuia sana kusema lakini nimeshindwa.Baada ya kuchunguza matukio mengi ya kisiasa hapa duniani.Binafsi naamini kuwa nAFRIKA ni bara la KIPUMBAVU zaidi kuliko mabara mengine yote hapa duniani.

Haishangazi kuona wale wazungu walitoka kule kuja huku kututawala, walijua kuwa wale watu ni WAPUMBAVU.Ingekuwa tuna akili mambo mawili yangetokea. Ama wasingekuja au sisi tungeenda kuwatawala wao.

Ni bara la KIPUMBAVU ambalo hatuwezi tu kukosoa kazi ya Mwenyezi Mungu lakini kiukweli hata lisingekuwepo bado kusingekuwa na tatizo lolote hapa duniani.

By Edo Kumwembe Facebook page

Alichosema Eddo sio cha kupuuza yawezekana kwa kiasi kikubwa kina ukweli tatizo sisi Africa hatuaandai viongozi,tunaaminishwa wanatoka kwa Mungu au wanaletwa na Mungu( Ilishawahi kutamkwa hata hapa Tanzania na very Senior Bishop kauli kama hii), kwani nani kwenye hii Dunia kaja kwa njia za SHETANI? tunadhani kila mtu anaweza kuwa kiongozi na ndio maana kuna wengine muda wao wa kuwatumikia wananchi ukiisha huamini hakuna wa kuwaongoza ila huwa hawajiulizi je wakifa leo Nchi wanazoziongoza nazo raia wake wote watakufa au maisha yataendelea? na ndio hapo kuna kuja tofauti ya ufikiri kati ya "POLITICAL LEADERS" AND STATE MAN'S" na ni hii hapa chini iliainishwa na Churchill kipindi hicho naye alisema:-

upload_2016-8-31_15-8-8.png

Na siku Nchi za africa zikibahatika kuwa na State Man's basi nadhani kwa tulio wakristo naamini ndio itakuwa mwisho wa hii Dunia si kwa uzao huu au ujao sijajua ni upi, maana kila kuchwao ujinga Africa unaongezeka badala ya kupungua.
 
I don't understand why he's suppose to be sorry for speaking his own opinions.... Oh I forgot We are all suppose to be sheep
and not speak our thoughts!!
 
Mtu anakubaliana na eddo ila ukimwambia na yeye ni ******** anakataa

Kwa kukubali afrika ni bara la kupumbavu lazima ukubali kuwa na wewe(mimi) ni wapumbavu.

Japo tunatofautiana upumbavu ila hakuna upumbavu mzuri

Sasa ******** wa bara la wapumbavu anaandika upumbavu na kudhani kaandika cha maana kumbe ni upumbavu kama mwingine tu.

Kweli mkuu umenena sana....waafrika wote hasa tunaojadili hii kauli ya kipumbavu ni wapumbavu kama Eddo Kumwembe....
 
Wabongo bhana, yaani tunalijua tatizo lakini hatujui tunalitatua vipi. Haya mwanetu Eddo, wewe umejitofautishaje na wapumbavu wengine, au jitihada gani umezitumia kusaidia jamii yako ya wapumbavu?
 
mh....mwandishi wa hiyo habari kazaliwa wapi? kama ni kweli ni muafrika na kazaliwa hapa hapa kwenye bara la afrika basi na yeye ni mpumbavu. uwezi kusema nyumba hii ni ya kipumbavu huku unaishi humo humo ndani.
 
Nimejizuia sana kusema lakini nimeshindwa.Baada ya kuchunguza matukio mengi ya kisiasa hapa duniani.Binafsi naamini kuwa nAFRIKA ni bara la KIPUMBAVU zaidi kuliko mabara mengine yote hapa duniani.

Haishangazi kuona wale wazungu walitoka kule kuja huku kututawala, walijua kuwa wale watu ni WAPUMBAVU.Ingekuwa tuna akili mambo mawili yangetokea. Ama wasingekuja au sisi tungeenda kuwatawala wao.

Ni bara la KIPUMBAVU ambalo hatuwezi tu kukosoa kazi ya Mwenyezi Mungu lakini kiukweli hata lisingekuwepo bado kusingekuwa na tatizo lolote hapa duniani.

By Edo Kumwembe Facebook page
pamoja na upumbavu tulionao we unafikiri tufanyeje ili tujitoe kwenye upumbavu..?
 
Tuangalie vizuri mada zetu!Ukifikia kusema familia yenu niwapumbavu jiangalie vizuri.Unaweza kuta wewe ndie mpumbavu!
 
Hat
Nimejizuia sana kusema lakini nimeshindwa.Baada ya kuchunguza matukio mengi ya kisiasa hapa duniani.Binafsi naamini kuwa nAFRIKA ni bara la KIPUMBAVU zaidi kuliko mabara mengine yote hapa duniani.

Haishangazi kuona wale wazungu walitoka kule kuja huku kututawala, walijua kuwa wale watu ni WAPUMBAVU.Ingekuwa tuna akili mambo mawili yangetokea. Ama wasingekuja au sisi tungeenda kuwatawala wao.

Ni bara la KIPUMBAVU ambalo hatuwezi tu kukosoa kazi ya Mwenyezi Mungu lakini kiukweli hata lisingekuwepo bado kusingekuwa na tatizo lolote hapa duniani.

By Edo Kumwembe Facebook page
Hata wachina walitawaliwa. Ni swala la mda,usife Moyo tutafika.
 
Eddo kakosea, asingesema Afrika ni bara la kipumbavu, nadhani angesema weusi wa afrika na kokote waliko duniani ndo wapumbavu.

kwenye hili kundi la wapumbavu huwezi kujumuisha mataifa ya kaskazini ya kiarabu ambayo kwa uelewa wangu hayaingii na hayana upumbavu.

ndo maana donald trump anaongea halafu anaomba radhi...lakini lishamtoka tena toka moyoni kama juzi aliposema waafrika na latino ni wahalifu...wahalifu tu just wahalifu. From east to west, north to south ni wahalifu, wanafikiria uhalifu tu kwa ujumla wao na kwa mtu mmojammoja.

utakayebisha jiangalie wewe na wanaokuzunguka, kama wana vipato halali na taifa kwa ujumla wake
 
Ndiyo tatizo la Watanzania tunajua kila kitu, Edo kumwembe ni mchambuzi wa soka, siasa, dini, ndoa na mahusiano, sanaa na mengine mengi.
Mkuu, inawezekana kajikita kwenye soka maana tunashabikia mno timu za Ulaya hasa England na kujifanya HAMNAZO kwenye timu zetu wenyewe!
 
Nimejizuia sana kusema lakini nimeshindwa.Baada ya kuchunguza matukio mengi ya kisiasa hapa duniani.Binafsi naamini kuwa nAFRIKA ni bara la KIPUMBAVU zaidi kuliko mabara mengine yote hapa duniani.

Haishangazi kuona wale wazungu walitoka kule kuja huku kututawala, walijua kuwa wale watu ni WAPUMBAVU.Ingekuwa tuna akili mambo mawili yangetokea. Ama wasingekuja au sisi tungeenda kuwatawala wao.

Ni bara la KIPUMBAVU ambalo hatuwezi tu kukosoa kazi ya Mwenyezi Mungu lakini kiukweli hata lisingekuwepo bado kusingekuwa na tatizo lolote hapa duniani.

By Edo Kumwembe Facebook page
Nimeandika humu several times kuwa KOSA KUBWA ALILOLIFANYA MUNGU NI KUMUUMBA MWAFRIKA-MTU MWEUSI
 
Yeye anawaona wale wanaofunga ndoa za jinsia moja au kufunga ndoa na mbwa wapo sawa sawa? Pamoja na mapungufu yote kwa tawala zetu, Afrika ndiyo bara lenye watu waliostarabika ukilinganisha na mabara mengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom