Edo Kumwembe/Adriano Gulliati kumhusu Mfalme wa Soka duniani

Binafsi yangu mimi. Messi ni bora ila Ronaldo (CR7) ni bora zaidi ya wote wanaotajwa hapo. Makombe binafsi + makombe ya timu kwa ujumla ndio yanawatofautisha hawa watu. Ukiongelea contribution ya mmoja mmoja na impacts wanayoleta unaona kabisa CR7 kawaacha mbali hao wote.

Ronaldo keshatu prove kwamba anaweza kufanya chochote hata akienda popote Messi kacheza ligi moja ni tofauti kabisa kiupinzani aliokutana nao Ronaldo na Messi. Yaan Ronaldo kakutana na timu nyingi kuliko Messi japo uchezaji ni ule ule ila kamwe hawa watu hawawezi kufanana.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Ronaldo ni bora zaidi ya Maradona daaah labda bora kwa kupakatwa kule Morocco
Binafsi yangu mimi. Messi ni bora ila Ronaldo (CR7) ni bora zaidi ya wote wanaotajwa hapo. Makombe binafsi + makombe ya timu kwa ujumla ndio yanawatofautisha hawa watu. Ukiongelea contribution ya mmoja mmoja na impacts wanayoleta unaona kabisa CR7 kawaacha mbali hao wote.

Ronaldo keshatu prove kwamba anaweza kufanya chochote hata akienda popote Messi kacheza ligi moja ni tofauti kabisa kiupinzani aliokutana nao Ronaldo na Messi. Yaan Ronaldo kakutana na timu nyingi kuliko Messi japo uchezaji ni ule ule ila kamwe hawa watu hawawezi kufanana.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maoni ya mtu si ukweli(fact) tuheshimu maoni yake then tuangalie uhalisia,

(1) eddo kumwembe ni mchambuzi ndio lakini naye ana upande yule, huenda hajawahi kumpenda pelle na ndio maana ameconclude bila kuweka hata data zinazomfanya messi awe juu ya pelle

(2) Shafii dauda si mchambuzi ambaye unaweza kupata kitu cha maana kutoka kwake, huyu ameongozwa na ushabiki wake kwa messi

(3) Huyu mutaliano huenda watu wanataka kumwamini kwasababu ya uzungu wake na sio uhalisia, hajatoa statistical data yeyote kati ya messi na pelle ameconclude tu kwa kisingizio cha kuwaona wakati wakicheza

Binafsi naona hajawahi kutokea kama pelle.

Ulimshuhudia pele akicheza?

Kwa upande wangu nimewafuatilia wote youtube Maradona and Pele, kiuhalisia Maradona ni namba ingine ile, was "much better player" than pele.

All in All Messi ni bora zaidi ya wote.
 
Tuache kuwashindanisha hawa watu kwani kila mtu ameonyesha uwezo wake kwa kiwango cha juu. Ukiwa ni shabiki mandaz au shabiki mwenye chuki utamsifia MESSI utaona yale yote ya cr7 ni takataka. Ukiwa shabiki maandazi na mwenye chuki pia utamsifia sana cr7 utaona ya MESSI kuwa ni takataka. Shabiki yoyote wa soka ni lazima ataukubali uwezo hawa jamaa walioonyesha kwa wakati huu wa zama zao. Mapenzi tuliokuwa nayo kwenye club zao ndo zinatufanya tuone nani ni zaid ya mwingine. Ila jamaa wote wanasifa nzuri na mafanikio pia kutokana na viwango vyao
 
K
Ulimshuhudia pele akicheza?

Kwa upande wangu nimewafuatilia wote youtube Maradona and Pele, kiuhalisia Maradona ni namba ingine ile, was "much better player" than pele.

All in All Messi ni bora zaidi ya wote.
Umefatilia kumbe youtube. Hata kule you tube giroud nae anaonekana mkali eti
 
Maoni ya yupi ni mchezaji bora duniani yanatokana na utashi wa kibinadamu,mchezaji anayekuvutia zaidi ndiye unaweza kumtaja kama mchezaji bora zaidi,na kwa upande wako unakuwa haujakosea kwasababu una vigezo vyako binafsi(sio vigezo vya watu wote)...
Siku zote binadamu ana hulka ya kuamini kuwa upande aliopo ndio upande sahihi kuliko upande walipo watu wengine,hiyo ni kuanzia kwenye imani,burudani,michezo mpaka siasa..!
Je,Edo Kumwembe akisema kuwa Messi ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea duniani Issa Mbonde wa Tandale ambaye anaamini Ronaldo ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea anakua hayupo sahihi..?
Vigezo gani vinatumika kujua kwamba mchezaji fulani ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea duniani..?
Hivyo vigezo viliwekwa na nani..?
Tusilazimishe tui kuwa divai..!!!
 
Maoni ya yupi ni mchezaji bora duniani yanatokana na utashi wa kibinadamu,mchezaji anayekuvutia zaidi ndiye unaweza kumtaja kama mchezaji bora zaidi,na kwa upande wako unakuwa haujakosea kwasababu una vigezo vyako binafsi(sio vigezo vya watu wote)...
Je,Edo Kumwembe akisema kuwa Messi ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea duniani Issa Mbonde wa Tandale ambaye anaamini Ronaldo ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea anakua hayupo sahihi..?
Vigezo gani vinatumika kujua kwamba mchezaji fulani ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea duniani..?
Hivyo vigezo viliwekwa na nani..?

Wanaoujuwa mpira zaidi yetu sisi washasema hivyo, so mimi na wewe ni nani mpaka tubishe
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Wanaoujua mpira kuliko sisi..?
Kipi kinachokufanya uamini kuwa Edo Kumwembe anaujua mpira kuliko mimi..?
Okay,let's say Edo Kumwembe anaujua mpira kuliko mimi(kwa vigezo ulivyotumia). Kwa vigezo hivyohivyo ulivyotumia kusema kuwa Edo Kumwembe anaujua mpira kuliko mimi,hakuna anayeujua mpira wa miguu kuliko Edo Kumwembe mwenye maoni tofauti na huyo Edo Kumwembe kuhusu yupi ni mchezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea..?
 
Inabidi ukubaliane na hali halisi, so kuwa mpole tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wenye mpira wao akina nani sasa? ina maana unapingana na GULLIANI RAISI WA AC MILAN + KUMWEMBE! maana sio wao tu wanaomkubali Messi, wako wengi sana. Sasa wewe kama nani ubishe!
mkuu hao kina Gullian + kumwembe waambie wamtangaze Messi kuwa mfalme wa soka duniani kama uwezo wanao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom