Edo Kumwembe/Adriano Gulliati kumhusu Mfalme wa Soka duniani

Aya mambo ya ushabiki kila mtu na mtazamo wake ndo maana kila timu ina mashabiki.Messi angekua ni kila kitu uwanjani basi makombe yote yangekua yake ila kama ni kinyume chake itoshe tu kusema yeye ni bora kulingana na mtazamo wa wanaosema ni bora.Mimi binafsi naweza sema wako wachezaji wengi tu ambao kama wangeamua kuwekeza vizur nakuamua kutumia kipaji chao vizuri leo wala tusingekua tunakazana kuwalinganisha messi na ronaldo.mtu kama neymar jr,hazard,mbappe nawengine ambao ukiwaangalia vizuri unaona kabisa bado wana kitu chaziada mguuni lakini hawataki kukitoa.sasa kwasababu tumekosa vijana wengine wenye jitihada ndo maana huu ushabiki wa hawa walionyesha jitihada zao unaendelea kuwepo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom