Edo hakukutana na JK barabarani, je wewe na rafiki yako mlikutana waaapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edo hakukutana na JK barabarani, je wewe na rafiki yako mlikutana waaapi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sabung'ori, Oct 24, 2011.

 1. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Nimejaribu kutafakali kwa muda sasa huku nikijaribu bila mafanikio kutafuta mantiki ya mweshimewa waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Rechmond,kuhusiana na kauli yake ambayo amekuwa akiitoa na kuirudia rudia kila anapotakiwa kujibu shutuma zinazo mkabili hasa zinazo husu kumuujum rafiki yake JK.Utamsikia akisema kwamba "URAFIKI WANGU NA KIKWETE SI WAKUKUTANA BARABARANI"...Hapa ndo EDO huwa simwelewi kabisa anamaanisha nini,je ukikutana na mtu barabarani hauwezi ukawa na urafiki nae wa ukweli?.Naomba mwenye ufaham mpana anieleweshe je ni-wapi hasa au nindani ya nini ukutane na mtu ili muwe marafiki wa kweli...plz Edo kama na wewe u-pita humu JF niambie ulikutana na JK wapi au ndani ya nini? coz unavyoitaja barabara unamaanisha hamkukutana nje.Mimi marafiki zangu nimekutana nao barabarani,shuleni,kazini kwenye viwanja vya michezo,mitaani nk...
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mie nilikutana na rafiki yangu sokoni nikiwa nanunua nyama
   
 3. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...kwa maana ya Edo urafiki wenu huo si wa-ukweli kwani mlikutana sehem iliyo wazi kama barabaran
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kanisani
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280


  ulikua una kimbilia wapi???
   
 6. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...barabarani
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  msamehemi jamani!!
   
Loading...