Edmund Kapama na deogratius Mgasa ni wakin nani?

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
337
234
..Kesi ya Mwandishi wa habari Jerry Muro hatimaye imefikia mwisho leo kwa yeye na watuhumiwa wenzake wawili kuachiwa huru. Pamoja naye, washitakiwa wengine walikuwa ni Edmund Kapama na Deogratius Mgasa. Nadhani wengi tungependa kuwafahamu hawa ni akina nani, na kivipi walihusishwa na Jerry. Binafsi nimepata kuwaona hawa jamaa katika baa moja kinondoni na Jamaa yangu akaniekeza kuwa pale ndio kijiwe chao...na wamekuwa wakikutana sana hasa kabla ya siku za kwenda mahakamani. Jamaa yangu alicheka sana statement ya polisi kuwa hawa ni watuhumiwa wanaliokuwa wanatafutwa na polisi kwa makosa ya utapeli kwa muda mrefu, ilhali jamaa wanajulikana (hasa maeneo ya K'ndoni) kuwa ni matapeli na mara nyingi hushinda bar za kinondoni G8, John Fedha nk...Kama kuna wanaowajua vizuri; shughuli zao hapa mjini, kama wamewahi kuhusishwa na matukio mengine nk...
 
Watanzania kama wewe sema 2 wana2mia akili ya ziada kufanikisha baadhi ya mambo. Wanatumia vichwa kufikiri badala ya Masaburi.
 
...Bra, hunifahamu mimi so usinifananishe na hao jamaa hata kidogo; na akili ya ziada wanayoitumia ni ipi? waliacha kuitumia walipokuwa shule leo wanaishi maisha ya kubahatisha! No wonder umechagua kujiita nyanya mbichi...komaa kwanza
 
Hao jamaa ni wazushi flani tu hapa mjini.
Unaweza ukawadakisha mshiko ili wasingizie walikua na flani mahali flani na wakafanya hivyo.
Mradi tu uwahakikishie kua 'utawalinda"
 
Wale ni watu wanatumiwa sana na polisi ktk masuala yao.... so nadhani lengo pale ilikuwa kupunguza tu kasi ya jerry muro na wala haikuwa kumfunga.
 
...Pia I had the same feeling; kuwa ni watu walioletwa pale kujaribu kumpunguza kasi jerry. kama mtu umeshawahi kwenda kitua cha polisi na kukaa for sometime pale "counter" utagundua kuwa polisi wetu wana weledi wa kutosha tu sema hawako motivated kufanya kazi yao. kama kuna tukio limeripotiwa wakishaelezwa lilivyotokea, ni kawaida kuwasikia wakisema 'watakuwa akina fulani hao,...

..Kesi ya Mwandishi wa habari Jerry Muro hatimaye imefikia mwisho leo kwa yeye na watuhumiwa wenzake wawili kuachiwa huru. Pamoja naye, washitakiwa wengine walikuwa ni Edmund Kapama na Deogratius Mgasa. Nadhani wengi tungependa kuwafahamu hawa ni akina nani, na kivipi walihusishwa na Jerry. Binafsi nimepata kuwaona hawa jamaa katika baa moja kinondoni na Jamaa yangu akaniekeza kuwa pale ndio kijiwe chao...na wamekuwa wakikutana sana hasa kabla ya siku za kwenda mahakamani. Jamaa yangu alicheka sana statement ya polisi kuwa hawa ni watuhumiwa wanaliokuwa wanatafutwa na polisi kwa makosa ya utapeli kwa muda mrefu, ilhali jamaa wanajulikana (hasa maeneo ya K'ndoni) kuwa ni matapeli na mara nyingi hushinda bar za kinondoni G8, John Fedha nk...Kama kuna wanaowajua vizuri; shughuli zao hapa mjini, kama wamewahi kuhusishwa na matukio mengine nk...

hiyo kesi ilijaa visasi, akina edmund ni wapambe wa polisi. wewe uliona wapi polisi wanakwenda kwenye press talk na watuhumiwa?.hii kesi imeingia kwenye kumbukumbu, na haya mambo yatakuja kujadiliwa baada ya justice kurudi tanzania
 
aise hawa jamaa ni wasanii wa kutupwa mwananyamala na sjui kwanini hawaachi huu utapeli mana wameshafanya mambo yamaana wana saluni za maana majumba lakini wapi
 
kapama a long time criminal,now he is used to up date police with 'Taarifa za intellijensia' anatumiwa na polisi sana,kama infoma wao na kama wanataka kutafiti uhalifu kwa kujihusisha na uhalifu wanamtumia,kama walivyomtumia kwa J.Muro only that walikurupuka,no modelling of the scenerio,walitoka mbio na kujitia aibu hata kabla ya uamuzi wa mahakama
 
Kuna Huyu Deo Mgasa Kipindi Kama Mwezi Uliopita alimteka Padre Mmoja Huko Ndanda Masasi!! Sasa nashangaa Bado Yupo Mtaani anadunda!! Alijiita kuwa yeye ni ofisa Kutoka Ikulu Basi akamteka Padre wa watu na Kumlazimisha Atoe Hela!! Mwenye Updates Atuwekee Hapa Tafadhali!!! Naona Huyu Mgasa sio Mtu wa Kawaida!!!
 
kwanini hukuripoti polisi??
 
Hawa jamaa ni watu wa kazi, pro con men, huwa wanapenda Kukaa Masai inn mkwajuni, Mafere, PR camp, G8,John Fedha hawa ni wapigaji lakini wanakula na ma sean paul kutimiza janja yao.
 
hiyo kesi ilijaa visasi, akina edmund ni wapambe wa polisi. wewe uliona wapi polisi wanakwenda kwenye press talk na watuhumiwa?.hii kesi imeingia kwenye kumbukumbu, na haya mambo yatakuja kujadiliwa baada ya justice kurudi tanzania

mara nyingi kova huonesha silaha tu bila wahusika, ila kwa hapa tulioneshwa watuhumiwa wakiwa kaunta na kova ati ndo wenzie na jerry! halafu issue yenyewe wala haikuwa kuuuubwa ya uhaini au mauaji! 4sure ilitengenezwa....!
 
Kweli jf ni kila kitu.
Mod mungeziunganisha hizi posts zingelieleweka zaidi
 
Back
Top Bottom