Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,539
- 19,389
Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali.
Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani kule ndiko habari zinatolewa na wataalamu wa uhabarishaji wala siyo watu wa kutoa hisia au umbea.
Tatizo sasa ni hizi editorial rooms zetu nyingi kuwa za kibabaishaji tu na zinaruhusu taarifa zenye makosa kutolewa kama habari; hata kama ni makosa madogo, kitaalamu hayaruhusiwi kupita na kuchapishwa.
Nimesoma habari hii pale Mwananchi ikanisikitisha sana.