EDINGTON KISSASI ni nani na mchango wake ni upi?

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,017
..haya jamani nimekuja na swala lingine.

..naomba kujua wasifu wa Edington Kissasi na mchango wako kwa mapinduzi ya Zanzibar.

..je alikuwa Zanzibar kabla ya Mapinduzi au alipelekwa huko ktk kikosi cha Polisi kilichokwenda Zanzibar baada ya Mapinduzi?
 
Back
Top Bottom