Edgar Kibwana,Yanga wanasubiri kulalamika baadae?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,642
2,000
Kwa nini Yanga hawalalamiki sasa hivi kama wanaona ratiba imepangwa na wao hawamo?

Kwa nini wanasubiri bodi yenyewe ishituke ndio waanze kuja na hisia eti watapangiwa mechi za karibu karibu baadae?

Edgar kibwana nimesikia unasema yanga wanataka kuonewa,kwa nini usiseme wanapendelewa ili waendelee kuwa na viporo?
Si ni wewe ulikuwa ukilalamika Simba kuwa na viporo vingi?Uliona kama simba anapendelewa na kutokana na uchambuzi maandazi ulionao,ulifikia kuhisi kuwa pengine kuna mipango itafanywa kupanga matokeo!

Kwa nini usihisi hivi kwa yanga ambayo ina wachezaji wapya na wanataka watengeneze chemistry nzuri kabla ya kucheza na mtibwa aliyecheza leo na jumapili anacheza tena?

Nakushauri wewe na wachambuzi wenzio akina kotinyo muache mahaba na yanga muwe weledi kwenye kazi yenu.Acheni ukanjanja,hiyo Radio mnayotangaza ni kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abou Saydou

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
2,925
2,000
Wewe mwenyewe umeandika kimahaba zaidi.

Wewe na huyo Kibwana wako wote mna matatizo yenu.

Mwisho kabisa jukumu la Yanga na timu nyengine sio kuikumbusha TFF jinsi ya kuwapangia ratiba kwasabbu TFF ni taasisi ambayo ina RAISI, Makamu wa raisi na watu wengine. Je kwanini watu wote hao wenye mamlaka washindwe kukumbushana ndani ya mamlaka yao ?.
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
18,702

Nawewe uache mahaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,642
2,000
Nina haki ya kuhoji hata kwa kuonesha upande nilipo.Silazimiki kuwa neutral kwa sababu mimi si mwandishi au mtangazaji wa umma.

Hao wanaojiita watangazaji wachambuzi wa soka kama si makanjanja,basi waitendee haki taaluma yao,na si kuchambua kwa hisia kali pale wanapoona yanga yao kama inaonewa wakati wao pia wana wajibu wa kufanya
Wewe mwenyewe umeandika kimahaba zaidi.

Wewe na huyo Kibwana wako wote mna matatizo yenu.

Mwisho kabisa jukumu la Yanga na timu nyengine sio kuikumbusha TFF jinsi ya kuwapangia ratiba kwasabbu TFF ni taasisi ambayo ina RAISI, Makamu wa raisi na watu wengine. Je kwanini watu wote hao wenye mamlaka washindwe kukumbushana ndani ya mamlaka yao ?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,642
2,000
Na kama yanga hawana wajibu wa kuwakumbusha sasa kutopangiwa mechi,pia hawana haki ya kulalamika baadae mechi zikipangwa kufidia gap.

Yanga wanasahau ni hao hao walikuwa wanalalamika kuwa wanakosa muda wa kupumzika,sasa wamepewa muda,wanalamika tena kwa visingizio visivyokuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Sun-of-a Beach

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,172
2,000
TFF walisikia malalamiko ya Yanga msimu uliopita kuwa Simba inabebwa kwa kupewa viporo vingi, leo wao Yanga wanapewa viporo halafu wanalia tena.

Yaani Yanga hawana tofauti na mwanamke mwenye mimba; atalilia nyama choma na ndizi, ukimletea anasema umeleta nyama nyingi hivi za kazi gani? halafu nani amekwambia nataka nyama choma na ndizi? Kwa hasira unaweza ukampiga na mimba yake kisha afe. Yanga wanakera sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom