BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
- Thread starter
- #21
Mkuu, maadui wa mpira wetu tupo nao humu humu nchini, na hao ma cartel wanatumika na viongozi wakubwa either wa mpira wa miguu au vilabu vya soka, yawezekana pia wanatumika na vilabu tunavyoshiriki navyo kucheza klabu bingwa ya afrika..Ninasikitika sana sijui kwa nini Simba haiweki nguvu kupambana na watu wajinga wajinga na makanjanja waliojaa katika vyombo vya habari wanaochochea na kulazimisha migogoro itokee Simba sasa hivi ambapo inajiandaa kwa mashindano makubwa.
Hii tume ya ushindanini FCC kwa nini inaingia sasa hivi baada ya kuona Simba inafanya vizuri na ikikabiliwa na mashindano makubwa hivi karibuni?Nani yuko nyumba ya haya yote?
Kama serikali ilivyo na mkono mrefu, basi naamin na jamii forum ina mkono mrefu, na ALERT hii itawafikia management ya simba, na ushauri ikiwezekana waunde kitengo kikali cha Ku deal na makanjanja kama haya, na pia kitengo hicho kitahusika na kupigana vikali na propaganda za kipuuzi zinazoendeshwa dhidi ya simba. Kitakua kitengo kama cha kijasusi vile, manara mwenyewe anachoka na hana back up na manara anafanya kazi kubwa sana kuilinda image ya simba, lakini hana ushirikiano, hana timu ya "kijasusi", watakaomsaidia kazi..
Ni dhahiri shahiri sasa simba wameona inaenda hata kuchukua ubingwa wa afrika, achana na huu wa ligi kuu ambao tunao tayari ( anayebisha anywe sumu), kutakua na vita ya kila aina. Hicho kitengo cha kijasusi ni muhimu kiwepo, makanjanja wenyewe walishtuka alivyopigwa mtu goli nne hapa.