Hahahahah nakumbuka alivyomjibu ZZK bungeni katoa mimacho huku wabunge wenzie mikofi kwaaa kwaaa kwaaadah profesa kabudi na dr bashiru wamegeuka comedy sana,kabudi akiongea uongo anatoa macho ili kutishia uogope
We acha upuuzi kutaka ku-spin mada, Chadema wanakujaje hapa? Jadili hoja ma PhD holder na ma poropesa wa kitanzania akili zao ni kama za darasa la nne kutokana mienendo na misimamo yao hapo awali na sasa.Ni Tanzania tu utapatawa watu wa elimu ya chini wanaohoji uwezo wa phd holder
Ndio mana hata chadema wanadharau uwezo w Mwesiga Baregu au professor Kalyogera Kahigi,anasikilizwa mchungaji msigwa au saeed kubenea
We jamaa mungu anakuona lakiniUkiachana na ao professors, kiukwel elimu ya Tanzania mimi binafsi sijawai kuiamin, tunaishi tu
Prof nae ana Mke anaependa aitwe Mke wa Mheshimiwa Kuliko kuitwa Mke wa Profesa
Prof Ana Mtoto anependa aitwe Mtoto wa Mheshimiwa akiingia Shule mpaka Mkuu wa Shule ajue kuna Mtoto wa Mtu Maalum yupo Kwenye eneo la Shule
Kimada wa Prof anapenda Prof awe Na uwezo wa kumnunulia chochote sio akili ya kuweza kumchambulia jambo lolote
Nadhan naeleweka Vijana
…maprofesa walishakufa wamebaki mapro-pesa…
Kweri kabisa afande…maprofesa walishakufa wamebaki mapro-pesa…
Mimi anaye nifurahishaga sana yule watabora macho kama yotewe jamaa umenichekesha sana hadi nimewaza anavyo tao(ga ) macho
yule jamaa bwe...e sana
Na wewe bro si uangalie ukweli?Tatizo lenu mnapenda kusikia yale mnayotaka ninyi tu,hamtaki kabisa habari hasi
Wewe na cheti chako cha uhazili tabora unahoji uwezo wa phd holder kisa kaongea kinyume na unayoyapenda