Eddo Kumwembe ampa somo Waziri Simbachawene kuhusu kufuta UMISETA

BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,211
2,328
......Wiki moja baada ya Serikali kufuta Umisetta kuokoa shilingi 1.5 Bilioni za madawati, Kiungo wa Umisetta ya zamani Kenya, Victor Wanyama amesaini mkataba wa miaka mitano Tottenham ambao utampatia shilingi za Kenya milioni 35 kwa mwezi ambazo ni sawa na shilingi za Tanzania milioni 744 kwa mwezi, ambazo katika miezi miwili anaweza kujitolea kufuta tatizo la madawati Tanzania......Mheshimiwa George Simbachawene upo?
 
Fedheha kwa taifa la tanzania.
 
Arrrrgh"""" inakera Sana wacha nikatafute sukari mwenyekiti Wa kata anipe kibali.
 
Back
Top Bottom