ECU programing

popolon

Member
Jan 31, 2018
49
125
ECU(Engine Control Unit) kwa kifupi wengi wanaita tu Control hii ndio kama ubongo wa katika gari ndio sehemu inatoa mawasiliano yote kwenye gar
kwa gari nyingi za kisasa hizi control zimekuwa advanced zaidi ni kwamba zinamambo mengi kidogo
kama gari yako imebadilishwa control lazima uitambulishe gar kwamba control iliyowekwa ni nyingine hii ni katika kuitambulisha control(programing)
kwa wale mafundi watanielewa zaidi hapa
ECU initialization
ECU progaming
ECU adaption
ECU registration
ECU compatibilitation

kama unapata shida baada tu ya kubadilisha control ya gari yako tafadhali tuwasiliane

contact;0716505153
location;Dar es salaam-Tabata
KARIBU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
Unatumia mashine gani mkuu?? Tuanzie hapo kwanza.harafu kibongo bongo ni gari za europe pekee ndio inataka mambo hayo lkn kama ni asia ni mwendo wa kuplug na kuplay..
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
control programing inafanywa kwa gari zote zenye immo system.mashine ya kuprogram inategemea na aina ya gari zipo nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikakwambia gari za asia sababu asilimia kubwa hazina immobilizer mkuu..harafu vile vile ecu mara nyingi huwa haziguswi kwenye ishu ya immobilizer pia hata kama imepoteza funguo ww utadili na immo ecu tuu..

Mfano kama ni bmw wewe utadili na CAS or EWS .

Okey mkuu hembu nambie unamashine gani za kusomea data/file kwenye ecu?? Like mpc file ,flush file??.

Hasa kwenye ecu za gari za asia??.
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
Mkuu usione nakuuliza hivi coz huwa napenda sana kufaham mashine zingine mbali ya nilizo nazo mm ambazo zinapatikana hapa bongo na kwa nani ili siku nikiwa na kazi nisikwame kisa kitendea kazi..

Okey mm za kusomea data ni na
Orange 5
Xprog
Tm pro
Min pro
R270
Ak90+
Capro
Kess na
Ktag

Na mashine za kumake key kuprogram funguo

Tango
Ak90+
Zadbull
Gambit
T300
Ck100
Skp900..
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
siprogramm kwenye bench lazima niwe kwenye gar mkuu technology ina uwanja mpana sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafaham mkuu lkn naona umejiwekea wigo kwenye kazi yako..coz ni gari chache sana zinazokubali direct kwenye gari hasa kwenye ishu ya AKL all key lost..
Labda nissan mazda ford na toyota kidogoo ndio uta enjoy.. lkn zingine zote lazima upige kwenye banch .

Harafu why usiwe na mashine za banch coz unakuwa na uhakika wa kazi 100%..
Kwasababu hata kazi inayofanyika kwa obd2 inakubali pia kwa banch..

Labda unambie ku add key hapo sawa..

Yaani wataalam wetu wa IT wamelala sana mm natamani sana kwa ufundi nilio nao nifaham mambo ya IT lkn ndio sipati mtu sahihi wakunifundisha au kunambia nisome nn?? Coz it ni pana sana na mm nahitaji mtu anisikilize kwanza na kunielewa nn nahitaji au nn malengo yangu nilicho nacho ndio anambie nisomee kitu gani ndio kiu yangu itakatika..

Yaani wasomi wetu wanashindwa hata kubuni tuu softwere ya kupimia magari..kwenye upande wa magari kuna ajira nyingi sana sana sana..mwanangu na wanangu itabidi niwaandae waje waridhi na kukiendeleza hichi ambacho mm nakifaham na kukifanya lkn kwa kiwango cha juu sana na kitalaam na kisomi zaidi hasa wakiwa wamebobea vilivyo kwenye IT.
 
kaka watu wa IT wenye uwezo wapo kama ulivyosema wanaitaji idea kidogo tu za kuhusu magar nikupe no ya mtu anaweza kukupa support na pia yuko vzr kwenye magar +254717654995

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
Mkuu nimeoma umesema una fcar 7 vip inapima mpaka truck??
 
MRAU

Member
Feb 1, 2013
63
125
Mkuu usione nakuuliza hivi coz huwa napenda sana kufaham mashine zingine mbali ya nilizo nazo mm ambazo zinapatikana hapa bongo na kwa nani ili siku nikiwa na kazi nisikwame kisa kitendea kazi..

Okey mm za kusomea data ni na
Orange 5
Xprog
Tm pro
Min pro
R270
Ak90+
Capro
Kess na
Ktag

Na mashine za kumake key kuprogram funguo

Tango
Ak90+
Zadbull
Gambit
T300
Ck100
Skp900..
Boss mashine zote hizo bei gan,maana na idea kidogo ya umeme wa gari,na je zinapatikana hapa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom