Ecu and smart key programing

popolon

Member
Jan 31, 2018
52
54
Magari mengi ya kisasa yanatumia mfumo wa *smart key* ambayo inakuwa ina programmed key ambayo itatumika kwa gari usika tu mfumo huu unaweka mawasiliano kati ya *Control unit* immobillzer Unit pamoja na Funguo.

Kwa maana hiyo funguo itatumia tu ile iliyotambulishwa kwenye control ya gari usika uhusiano huu kama ukibadilisha tu kimoja kati ya control au funguo gari automatical inaingia kwenye Lockmode utaona kitaa chekundu cha alama ya gari chenye ufunguo katikati

Ikitokea hvyo hiyo gari haitoweza kuwaka kamwe mpaka ifanyiwe programing ili kuitambulisha control pamoja na funguo kwa immobilizer usipate tabu ukishaona ili tatizo wasiliana nami kwa no 0716505153
gharama zangu ni nafuu sana hii ni kwa ghari zote za ulaya na japani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu mkuuu nna RAV 4 VX OLD MODEL juzi wameniibia funguo Gari inapiga stata ukitumia funguo zingine ila haiwaki shida ni hiyo system mkuuu. Nipo Arusha
magari mengi ya kisasa yanatumia mfumo wa *smart key* ambayo inakuwa ina programmed key ambayo itatumika kwa gari usika tu
mfumo huu unaweka mawasiliano kati ya *Control unit* immobillzer Unit pamoja na Funguo
kwa maana hiyo funguo itatumia tu ile iliyotambulishwa kwenye control ya gari usika
uhusiano huu kama ukibadilisha tu kimoja kati ya control au funguo gari automatical inaingia kwenye Lockmode utaona kitaa chekundu cha alama ya gari chenye ufunguo katikati
ikitokea hvyo hiyo gari haitoweza kuwaka kamwe mpaka ifanyiwe programing ili kuitambulisha control pamoja na funguo kwa immobilizer
usipate tabu ukishaona ili tatizo wasiliana nami kwa no 0716505153
gharama zangu ni nafuu sana hii ni kwa ghari zote za ulaya na japani


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom