ECOWAS vs EAC or SADC

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
ECOWAS ni Jumuiya ya nchi za Africa Magharibi wapo Makini na Demokrasia ya kweli tofauti na EAC au SADC..

Tume za uchaguzi zipo huru na haziingiliwi...Wananchi wanachagua Kiongozi wao....

Wenzentu wa Africa Magharibi wako mbali kimaendeleo

ECOWAS wanafanya mazungumzo ili RAIS king'ang'anizi atoke madarakani na ili mshindi aapishwe..

ECOWAS wataingiza Jeshi kama atakuwa mbishi

Je EAC na SADC mko wapi?
 
..kwenye EAC muelekeo ni kuondoa term limits kwa nafasi ya Raisi.

..pia tumefanya makosa kukaribisha nchi unstable kama Rwanda Burundi na South Sudan.

..halafu kuna campaign za kujitoa ICC.
 
Hawa EAC wanajitoa ICC kwa sababu tume zao sio huru, ni ujanja ujanja tu kama JECHA

Na wananchi wakiandamana ni kupigwa Risasi.....DRC akina kabila, wale viongozi wamewekewa vikwazo kwa kuuwa waandamanaji

SADC nako sio salama sana, kuna baadhi ya wanafiki wamebaki huko

SADC zipo nchi safi kama ZAMBIA, BOTSWANA...NAMIBIA

TZ, ZAMBIA, ZIMBABWE, SOUTH AFRICA ni malalamiko kibao
 
Swali ni kwamba EAC and SADC, hizi ni regional community zenye malengo mbali mbali, example, agriculture sector, transport and technology, na malengo mengine mengi ikiwemo defence and security, lakini hatuna JESHI la EAC, au SADC, isipokua membership within a community, ndio humiliki jeshi mfano , uganda ni membership wa EAC hivyo kama state au nchi INA jeshi, na sio EAC
 
Awa ECOWAS uwa nawakubali awanaga unafiki wala aibu kwa maraisi wenzao kama manafiki wa EAC na SADC. walimtaka rais wa afrika ya kati kuondoka na akatii,wakairudisha madarakani serikali ya Michel Kafando wa Burkina Faso baada ya kupinduliwa pia walimtaka bagbo kuheshimu matokeo sivo angevamiwa kijeshi na sasa Jammeh
 
Africa Magharibi ECOWAS wanahakikisha kuna kuwa na uchaguzi huru na Demokrasia ya kweli. Hivyo Ufisadi wa viongozi utaisha kabisa.

Hapa kwetu EAC Tume sio huru na hivyo Mafisadi watabaki madarakani ili walindane....

Maendeleo na Ustaarabu West Africa utakuwepo kwa kiwango cha juu
 
Back
Top Bottom