Economy Kubwa Kabisa Eastern Africa According to IMF by 2024

Wah, Sudan was once the largest economy ..Effects of war!...Now in 2024 we will be past 150B USD, That's an average of 10B USD Per year,Amazing
 
Hao IMF wamejifanya hawaoni uwekezaji unaofanyika sasa Tanzania. Bandari (ziwa Tanganyika, Mtwara na Dar), Reli (Tanga, Kati na SGR), Rufiji Dam, Masoko ya Madini, Usafiri wa anga n.k
😂 😂 😂 😂 😅
 
2024 TZ hamtakua mnaigusa kimaendeleo ndio yale yake ya NIGERIA na South Africa
Kwanza umeme utakua wakutosha sana,SGR Itakua na mtandao zaidi ya km 1500 ,barabara ndio sipat picha
😂😂😂😂😂
 
Tihahahhaaaaa
 
😂😂😂😂😂 Punguza bangi aisee!
 
Leo nimeamini sasa km jamaa wa south uchumi wao unakua pole pole sana....ndo manake kila mwaka gap linazidi tu...duh..
 
I'm happy that Tanzania shows a steady and strong growth. Bravo Tanzania.
 
2024 TZ hamtakua mnaigusa kimaendeleo ndio yale yake ya NIGERIA na South Africa
Kwanza umeme utakua wakutosha sana,SGR Itakua na mtandao zaidi ya km 1500 ,barabara ndio sipat picha
Hats zitto kabwe alikuwa anaropokwa kama wewe saa hii,yeye alikuwa anasema Tanzania itakua ya 5 africa kwa uchumi na Kwanza East Africa kamuulize saa maoni yake
 
Tz inakuja kua nchi imara sana miaka 5 mbele...mtakubali tu wenyewe
 
Hao IMF wamejifanya hawaoni uwekezaji unaofanyika sasa Tanzania. Bandari (ziwa Tanganyika, Mtwara na Dar), Reli (Tanga, Kati na SGR), Rufiji Dam, Masoko ya Madini, Usafiri wa anga n.k
Nilisoma article jana tu katika gazeti la The Economist magazine walisema "Magufuli sees economic growth thru a single prism of mega projects and the state and state alone" .Sasa wewe Chamoto naona unaugua ugonjwa huo huo pia.Economic growth is an all inclusive process -people ,private sector and NGO's too ...you have to build a middle class to drive a sustainable economic growth.
 
hilo tuachie sisi.subiri matokeo.
 
Back
Top Bottom