Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Tunapaswa kushawish wachina wachukue vijana wetu weng zaid ya sasa kwenda kusoma vyuo vya China ktk masomo ya injinia na udaktar wa watu wanyama na mimea lkn pia baadh ya malighaf wachukue kwa shart ya kuziboresha hapahapa mfano mkonge,pamba ziondoke km bidhaa yaan wachukue nyuzi au kamba za katani lkn pia na sisi wenyewe tujikaze tukitegemea kila jambo kufanyiwa mwishowe tutaharibikiwa.