ECKERNFORDE university.

kwenye orodha ya tcu kinatambulika lkn ubora wa elimu yenyewe sasa ndo issue.think twice

kwenye orodha ya tcu kinatambulika lkn ubora wa elimu yenyewe sasa ndo issue.think twice
Kama TCU wameshakipa accreditation that means kuna vigezo wametimiza ikiwemo hicho chuo kuwa na qualified lecturers. Kama elimu ubora wake uko chini basi wa kulaumiwa ni TCU

Eckenforde University kinatambulika na TCU japo hakuna taarifa wazi juu ya hatua iliyofikia katika utambuzi(kumbuka kuna hatua tatu:provisional Licensing, Accreditation and Chartering). chuo hiki kimeorodheshwa katika vyuo vinavyopokewa wanafunzi kwa mwaka huu wa masomo pita hapa chuo cha tisa ukurasa wa tano http://tcu.go.tz/uploads/file/TCU GUIDE.pdf pia kwa taratibu za utambuzi wa chuo unaweza check TCU Website na ukajisomea THE UNIVERSITIES (CHARTERING, REGISTRATION AND
ACCREDITATION PROCEDURES) REGULATIONS, 2006 hapa http://tcu.go.tz/uploads/file/Annex III.pdf swali je chuo cha Eckenford kipo ktk hatua gani kati ya zile tatu?hapo mkuu TCU bado wana orodha ya zamani hawaja updates katika mtandao wao so watu wa Eckenforde na TCU wenyewe wanataarifa sahihi na tuwalaumu TCU kwa kuweka orodha ya vyuo na colleges iliyopitwa na wakati check hiyohttp://tcu.go.tz/uploads/file/Status of Universties.pdf walitakiwa wawe wana update taarifa zao kwani ni muhimu sana kwa umma,taasisi nyingi tanzania za serikali na binafsi hawafanyi updates katika website zao,mimi naishiwa nguvu juu ya tabia hii mbaya!nini maana ya taarifa katika mtandao km taarifa hizo zimepitwa nawakati?

ooh wana website na wemaandika hivi"Eckernforde Tanga University (ETU) is a new private university registered by the Tanzania Commission for Universities with Certificate of Provisional Registration (CPR) No. 034 of 2[SUP]nd[/SUP] November 2010. We are now offer the following academic programmes in the year 2011/2012.
Faculty of Education.
Bachelor of Arts with Education in the following subject combinations;
Kiswahili
History
Geography
English
Entry Requirements; A Minimum grade of 2.5 with principal passes in two arts subjects at ‘A' level

The following programmes will also be offered during the current academic year;

Certificate/Diploma in Business Administration and Management
Certificate/Diploma in Tourism and Hospitality Management
Certificate/Diploma in Accountancy
Diploma in Educational Management and Teaching
Diploma in Primary Teacher Education
Certificate/Diploma in Community Economic Development
Certificate/Diploma in Law

Certificate/Diploma in Clearing and Forwarding

Certificate/Diploma in library Archives and Record Management
Certificate/Diploma in Procurement and Supplies Management
Certificate/Diploma in Human Resource Management (HRM)
Certificate in Information and Communication Technology (ICT)
Certificate in Library Studies

Diploma entry requirements: Advance qualifications of A-level with at least and/or Related Certificates accepted.​
Certificate entry requirements: A certificate of Secondary Education Examination ( "O" Level) with at least THREE passes (CSEE).
unaweza wacheck ktk link hii ETU Home

huh................kila kukicha utaskia _____________,___________,__________university,mwisho wa siku patageuka kua algeria

si bora hicho hata pale chalinze kuna bango lao kuna hiki hapa kinaitwa university of bagamoyo

University of Bagamoyo (UOB)
Bachelor of Law
Bachelor of Science in Computer Science
Bachelor of Science Information, Communication Technology(ICT)
Bachelor of Science Mathematics and Statistics
Bachelor of Science with Education (Mathematics, ICT and CTS)
Bachelor of Science with Education (Mathematics, Statistics and CTS)
Bachelor of Arts Education (English, Geography and CTS)
Bachelor of Arts Education (Psychology, Philosophy and CTS)
Bachelor of Arts Education (English, Kiswahili and CTS)

Je kuna mtu anayekijua..

huh................kila kukicha utaskia _____________,___________,__________university,mwisho wa siku patageuka kua algeria

mmekariri chuo ni udsm peke yake....! ETU wameanza mdogomdogo kutua bachelor za education! ... sio kitu mbaya hapo

Duuh safi sana. Naona huo ni mwendelezo wa harakati za kuwa na vyuo vikuu vya kata kama ilivyo katika sekondari..Aaaaahaaaa

Halafu huu utitiri wa vyuo vikuu vipya kujaza courses za ungwini badala ya kuhimiza math and science ndio kuliangamiza taifa.
TCU wawe makini na quality of eduaction inayotolewa na sio kujali sana number ya wanaojiunga na vyuo na wawe pia strict ktk entry qualifications bila ku-compromise admissions
Mkakati unatakiwa kuanzishwa institutes of science and tech.
Hizi institutions zilizopo za social sciences zinatosha sasa.

Nelson Mandela Institite of science and TECHNOLOGY!(NMIST),KIAANZA NA WANAFUNZI WA MSC NA PHD. Ni juhudi japo kidogo.

si bora hicho hata pale chalinze kuna bango lao kuna hiki hapa kinaitwa university of bagamoyo

University of Bagamoyo (UOB)

Bachelor of Law

Bachelor of Science in Computer Science

Bachelor of Science Information, Communication Technology(ICT)

Bachelor of Science Mathematics and Statistics

Bachelor of Science with Education (Mathematics, ICT and CTS)

Bachelor of Science with Education (Mathematics, Statistics and CTS)

Bachelor of Arts Education (English, Geography and CTS)

Bachelor of Arts Education (Psychology, Philosophy and CTS)

Bachelor of Arts Education (English, Kiswahili and CTS)

Je kuna mtu anayekijua..

mvung ndo chuo chake

kwani kiko upande gani wa bagamoyo hiki?

Back
Top Bottom