Ebu wadau tuicheki fursa hii

Sadru

Member
Sep 12, 2011
23
4
Ndugu wadau mimi niko mwanza wilaya ya nyamagana nina kama laki 8 nataka nianzishe miradi ya chipsi, sasa naomaba mnipe ushauri kwanza mimi nina wazo kua katika hizo laki nane nifungue vijiwe vinne ambapo kila kijiwe nimekipangia laki moja kukianzisha.

Naombeni ushauri wakuu.
 
Ndugu wadau mimi niko mwanza wilaya ya nyamagana nina kama laki 8 nataka nianzishe miradi ya chipsi ..sasa naomaba mnipe ushauri kwanza mimi nina wazo kua katika hizo laki nanne nifungue vijiwe vinne ambapo kila kijiwe nimekipangia laki moja kukianzisha naombeni ushauri wakuu

mbona unajichanganya mara chipsi mara kila kijiwe uweke laki which is which?!
 
Wewe acha tamaa utapotea !huo mtaji ni kidogo malengo mengi hawa fanyi hivyo .
Anza hiyo biashara moja alafu angalia mwenendo wa biashara then ukiona inatoa faida ndipo ifikirie kuongeza biashara.
 
Back
Top Bottom