Ebu tuimulike SUMATRA +Majembe auction mart

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Tangu majembe na SUMATRA wameanza kushirikiana katika suala la usafiri hasa wa kwenda mikoani pale ubungo bus terminal imekuwa vurugu sana na kelo kubwa kwa abiria,

Je sisi JF hatuna cha kusema katika hili kweli??!!
 
Back
Top Bottom