Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule
htupishani tabia aiseee
 
Wanawake wanajua mengi, huyu mdada kaona boksa za sampuli nyingi, mimi mwanaume lkn silijui hili
unazijua bhnaaaa ukute ata unayo na wewe alafu mlivo wajanja mnazivaaga home tu ila ukitaka kwenda kuona na dem unatafuta kabox kazuri ka drafti kisanga kinakujaga pale dem aje home kwako maybe afanye usafi unakuta usha jisahau kuificha
 
Baby tunaweza hania pm?
 
Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule
😂😂
 
Njoo kwangu bibie! Tanzania nzima, niko peke yangu ninayetumia zile nguo za ndani za miaka hiyo zinazoitwa VIP! Achana na hao watoto wanaovaa boksa za vitenge/kanga/madera/batiki!!!

Sigara pia situmii! Ila ninatumia tu ugoro kwa ajili ya kuburudisha kinywa. Karibu sana PM tuyajenge maisha kabla ya Lissu kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT.

Unatumia ndala za skyway, boksa za Coast
 
Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gan uwezi kuwa naye kwenye mahusiano ?

Binafs siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anaye vaa boksa ya kitenge,mvuta sigara
Akili ya kitoto inakusumbua. Ukikua utagundua sifa za mwanaume bora ni zipi.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom