Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Mimi navuta sigari pia pesa ninayo nitakuonga kipisi cha scania 124 hesabu kila trip uwe unachukua ww na trip moja ya kipiss changu ni 300k kwa siku hupiga trip mpaka 4 utanitaka unitaki???am jas kidding.
 
Pia kuna vigezo nataka kma we ni mcheza poa ila kama sio basi angalau uwe mfanya mazoezi yawe ya GM au ya kukimbia barbaran naoenda tu ile asubuh tuamke tuanze kukimbia wote jione twende GM
Watu hao hawakuwahi kuzaliwa buza wamezaliwaga upanga,oysterbay na kwinginepo,unajuwa sana kulenga dogo
 
We unaonekana ata unachokiongea hujakielewa.. sas mme ukishakuwa nae ndani anakuaje mchafu Tena unless otherwise humjali Kam mmeo.ila Kam unasemea bwana nakubali..
Kuna wanaume Ni wachafu ..wachafu..wachafu...Hadi kero
Yaaani wewe nikulazimisha kuoga..kulazimisha anunue hata nguo...yeye akiwa na nguo mbili Hana shida...hata Kama chafu atavaa hivyo hivyo...Akiingia chumbani kila kitu chini...Yaaani hajawai kuwa nadhifu..

Nikulazishana kuoga...Napo nimpaka uongee Sana ndo aoge, haya kujinunulia TU ka perfume hawezi....

Kunawatu wananukaga TU...Hadi unajiuliza huyu anashida gani..
 
Never say never....moyo una mambo ya ajabu sana

Unaweza kuandika hapa siwezi kuwa na mwanaume mvuta sigara ikatokea ukaangukia kwa anayevuta sigara na bangi pia

Binafsi naweza kuwa na mahusiano na mwanaume yoyote lakini sipendi mwanaume mropokaji,mwenye kitambi na mfupi kuliko mimi

Kupangia moyo wa kumpenda ni jambo gumu kidogo
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom