Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Wewe ukienda msibani huwa unanuna muda wote?....angalia misibani kulivyo kabla hujaanza kuwanyooshea hawa vidole
View attachment 72940
awa watu naona wanacheka,wanaenjoy wakat wengine wana majonzi sana,je hii ni sawa kimaadili,apo ni tanga kwenye msiba wa sharo millionea
Hao wote si ndo wale wale...kufanya show off popote pale..
kucheka msibani siyo kosa inasidia kupunguza maumivu ya kufiwa.Lazima watu wachangamke kidogo na kufanya kazi nyingine msibani
Nafikiri its about time misiba ya bongo iwe na mualiko...Mijitu mingi inakwenda tuu bila huzuni wa maadili. Hii sio sawa kabisa. Mbona wenzetu wanakua na mipangilio na heshima hatakama muusika alikua ni Msanii au Mchekeshaji?
Ni sawa lakini inahitaji timing, hucheki cheki tu kama mwehu, na kuna mikao ya kistaarabu na sio kukaa kama uko beach
View attachment 72940
awa watu naona wanacheka,wanaenjoy wakat wengine wana majonzi sana,je hii ni sawa kimaadili,apo ni tanga kwenye msiba wa sharo millionea