ebu angalia vizuri awa,wameenda kutalii au kumsindikiza mwenzao

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
mazishi_sharo_milionea10.jpg

awa watu naona wanacheka,wanaenjoy wakat wengine wana majonzi sana,je hii ni sawa kimaadili,apo ni tanga kwenye msiba wa sharo millionea
 
Wewe ukienda msibani huwa unanuna muda wote?....angalia misibani kulivyo kabla hujaanza kuwanyooshea hawa vidole
 
Hata kama unapaswa kua mcheshi lakini sio kama hao!! Huo mkao tu wenyewe!! Alafu uyo kama sijakosea atakua shelta!! Alie fariki ni msanii mwenzake lkn utadhani alienda kwenye mapango ya amboni kutalii.
 
Wewe ukienda msibani huwa unanuna muda wote?....angalia misibani kulivyo kabla hujaanza kuwanyooshea hawa vidole

utajisiaje kwenye msiba wa ndugu yako wa karibu mzaz au dada/kaka,ukaona watu wanacheka na kuenjoy,ukipata jibu ndio utajua nasema nini apa
 
kucheka msibani siyo kosa inasidia kupunguza maumivu ya kufiwa.Lazima watu wachangamke kidogo na kufanya kazi nyingine msibani
 
msibani tunaenda kuondo huzuni na mumivu kwa wafiwa(kuwafariji), sasa wewe ulitaka wote walie na faraja itaanzia wapi kuaptikana?
 
Hao wote si ndo wale wale...kufanya show off popote pale..

Nafikiri its about time misiba ya bongo iwe na mualiko...Mijitu mingi inakwenda tuu bila huzuni wa maadili. Hii sio sawa kabisa. Mbona wenzetu wanakua na mipangilio na heshima hatakama muusika alikua ni Msanii au Mchekeshaji?
 
kucheka msibani siyo kosa inasidia kupunguza maumivu ya kufiwa.Lazima watu wachangamke kidogo na kufanya kazi nyingine msibani

Ni sawa lakini inahitaji timing, hucheki cheki tu kama mwehu, na kuna mikao ya kistaarabu na sio kukaa kama uko beach
 
Nafikiri its about time misiba ya bongo iwe na mualiko...Mijitu mingi inakwenda tuu bila huzuni wa maadili. Hii sio sawa kabisa. Mbona wenzetu wanakua na mipangilio na heshima hatakama muusika alikua ni Msanii au Mchekeshaji?

umenena mkuu,kuna misiba nimeuzuria marekan ni ndugu peke yao ndio wanaoshiriki lakin uku africa kila mtu ata ambao awamjui matokeo yake ni aya makuzi
 
eeeeh wewe ivi ujaona misiba mingine wanawekamuziki 2 hawana habari ya kulia sasa wewe kinacho kushangaza kitu gani cha ajabu au ujawai kuona misiba wanandugu wapo ila wanatafuta watu wa kulia so usishangae hayo ni mambo ya kawaida
 
Back
Top Bottom