Onyix
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 683
- 791
Ni tapeli kama matapeli wenzie kina , mzee wa upako,mwingira,malisa,gwajima na wengineo wengi ,na watakuja wengi zaidi na zaid.View attachment 462490 .. Naombeni kuuliza kwa wadu mtu anae mfahamu uyu mchungaji *hapo juu kwenye picha* kwa undani. Kuna mdogo wangu amehamia kanisa lake ambalo lipo mbezi africana ila makao makuu yake yapo Arusha... Sijui anawafundisha nini maana uyu mdogo wangu anachukia ndugu zake wote hasa wazazi anasema ndugu zake ni wale anao sali nao huko.. Hata kushiriki kwenye mambo ya kijamii hataki anasema dini yake mpya inakataza mambo kama michango nk..