Special Thread: Ebitoke, Comedian anayekuja kwa kasi

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Huyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy kinachofanya vzuri kwa sasa.
c74e71622b0e16d1f1af65acc871d51e.jpg
 
Back
Top Bottom