Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 875
- 960
EATV WAMUOMBA RADHI MKUU WA WILAYA YA KINONDONI
Kufuaatia kauli iliyoripotiwa na ukurasa wa facebook wa EATV kuhusu "walimu walioadhirika na mshahara wa serikali"
Mkuu wa Wilaya ya KINONDONI Ally Salum Hapi ametoa ufafanuzi kuwa hakumaanisha walimu hao watafute kazi nyingine kama ilivyokuwa imeripotiwa. Akizungumza na EATV.
Hapi amesema hoja yake ilikuwa ni kuwaonya walimu ,wakuu wa shule ambao bado wanaendelea kutoza michango kwa wanafunzi,Licha ya michango hiyo kupigwa marufuku na serikali .
"Nilichokisema ni kusisitiza kuwa wanafunzi hawapaswi kutozwa michango holela shuleni. Kwakuwa saaa hivi serikali inatekeleza sera ya ELIMU BURE ili kila mtoto apate elimu bila ya kikwazo.
Cha kutokuwa nafedha hoja yangu haikuwa mishahara ya shule ya walimu wa shule za msingi "
Amefafanua mkuu wa wilaya na kuwaomba walimu wasimuelewe vibaya
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza