EATV, "ndutu" ya Joyce Kiria Nkongo ni tusi badilisheni

Indutunyo -kimasi linwaza kuwa maana yake ni kisigino.
Kwa wachagga kuna ukoo unaitwa..mb.....ro na mara nyingi wanatangaza vifo linatajwa lilivyo. Sasa inategemea yeye atumiapo anamaana gani.
 
Kipindi kinarushwa kwa lugha gani? Kwa kimasai?, Kiswahili? Kama ni Kiswahili kwanini asiseme kisigino? Hawa watangazaji ndio wanaharibu lugha.
 
Hata nnyo pia linamaanisha Uke kwa makabila mengi tu....Hivi(swali la kizushi) ni kwa nini inapotokea mtu kataja jina la kiungo cha uzazi cha mwanamke au mwanaume inaonekana ni tusi???,mbona tunapoonge kiingereza tunayataja kwa urahisi tu bila kujiuliza mara mbilimbili?,ni utamaduni ama?...Iifikie kipindi tubadilike sasa maana inakuwa ngumu hata kwa wazazi kuwapa watoto wao elimu ya uzazi i.e viungo vya uzazi na kazi zake(ambayo yaweza kuwasaidia kujikinga na magonjwa kama Ukimwi na yale mengine ya kujamiiana,pia kuepukana na Mimba zisizotarajiwa)

Utamaduni na mila tofauti tofauti. Japo hubadilika lakini ni kwa polepole...Batalanda unaweza kwenda beach na mama yako mzazi wote mkiwa mmevaa vichupi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom