EATV inaboa. . . !

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
habari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!
 
mimi nilishangazwa siku moja,kipindi cha ijumaa saa tatu usiku,kinakua live hadi eatv radio,yule mtangazaji sharodoro akapanda juu ya meza akanyua shati kutuonesha watazamaji boxer aliyovaa,eti ni safi!!!!!!!!!mi hadi leo sielewi,wanaohusika ku monitor maadili ya utangazaji wako wapi
 
Did you take initiative by reporting your discontentment to the respective authority?
 
mimi nilishangazwa siku moja,kipindi cha ijumaa saa tatu usiku,kinakua live hadi eatv radio,yule mtangazaji sharodoro akapanda juu ya meza akanyua shati kutuonesha watazamaji boxer aliyovaa,eti ni safi!!!!!!!!!mi hadi leo sielewi,wanaohusika ku monitor maadili ya utangazaji wako wapi
 
habari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!

kijana naona umerud likizo kwa mbwembwe, karbu bwana!
 
habari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!
Hongera ndugu yangu! Sisi hata huo mtiririko hatuwezi kuuona coz umeme tunapewa 6 night hours. Halafu chou unarudi lini wewe?
 
[QUOTE=Tbag Hatari kwani lazima uangalie?? weka tbc hukoo uangalie kilimani sensemi

Teh! teh! teh! teh! teh!
 
Vituo vya Tanzania vinaboa kwani vinajitangazia tu bila kujali wananchi wanataka kuona nini. Ndio maama mm nimejiwekea dish la kuona bure na nikiisha angalia news basi nafungulia channel za kiarabu na kihindi
 
habari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!
Ulikuwa wapi dogo...nimekumiss kwenye free style battle
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom