EATV & EAFM Jina kubwa ila contents zao 98% zinahusu Tanzania Pekee

Unaweza kuwa laumu lakini lazima ujue kuviendesha vipindi hivyo na gharama kama haviingizi pesa kufutwa ni haki yao hawawezi kuendelea kupata hasara na pia kwa upande wa Kenya hawana vipindi vya East Africa ukitoa mseto ya citizen
 
Back
Top Bottom