omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 145
Sina hisa lakini kuna watu ambao nawafahamu kwa karibu katika mazungumzo wameniambia wamechukua hapo EF mikopo kiasi cha 50 millioni watu hawa wamejiajiri wenyewe na ni ni watu maarufu tu na kwa maoni yao wakihitaji mkopo tena hawatasita kurudi EF.
Sasa kama nimeambiwa hivi na wahusika sioni sababu yoyote ya kuficha ukweli eti kwa kuogopa kuambiwa nina hisa EF. Sina hisa EF wala sina mpango wa kununua hisa huko bali nasema nilichoambiwa na baadhi ya wakopaji waliofaidika na mikopo ya EF. By the way I am talking about Tanzania's EF and I know nothing about US' EF.
Sasa unadhani wajanja wanadhulumiana. Inawezekana unaowasema hapo ni watoto wa mjini wenzao ama wajasiri wa mali wa CCM ambao inabidi waheshimiane.
Tanzanianjema