Easy Finance matapeli?

...wewe acha bandika bandua form just one code tax ukafikiri thats all for gaming taxes,zipo kibao ukiangalia at the end of the day its almost 70% ya income inaishia as taxes,kwa akili yako payroll tax ni kubwa kuliko gaming tax...na repo man wanakuja kuchukua gari yao sio kitu kingine lakini easy finance wanakuja kuchukua gari/nyumba yako(tofauti ni kubwa sana hapo)...nakuambia tena mikopo kama hii huwezi kumfanya chochote mtu kwa nchi kama States na huna cover yeyote kisheria wateja wako wakishindwa kulipa na hizi loans zimejaa sehemu za watu maskini wasioelewa kitu.

Okay then nionyeshe hizo tax zingine unazo ziongelea ambazo zinafikisha casino taxes to reach 70%, sawa mimi na bandika bandua lakini ni bora kuliko wewe unao piga blah blah tuu bila ku-justify your arguments with anything!!!!
 
ndugu zanguni, majambazi wako wa aina nyingi, easy finance ni kampuni la wezi, kaeni chonjo.
...Kivipi?? Toa maelezo yaliyonyooka tuthibitishe naweza kuwasiliana na Isaack Kassanga CEO wa Easy Finance tujue ukweli sio kuleta udaku hapa!!!

Cheers!!!
 
Mtoto akililia wembe mpe, ila ujumbe ndio huo, nendeni mkakope... Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Mtoto akililia wembe mpe, ila ujumbe ndio huo, nendeni mkakope... Sikio la kufa halisikii dawa.

Kwani ni lazima uchukue mkopo kama hukubaliani na masharti yao? :confused:
 
Nakubaliana nawe mtoa hoja kwa sababu kuna mtu namjua analia kutokana na hawa Easy Finance, wanatumia njia kibao na mitego mingi kuwalaghai na hatimae kuwaibia watu. Please don't ever get a loan from them.
 
Hawa jamaa, wangekuwa nchi za kiarabu wangekuwa washanyongwa, walio jaribu wote watakuwa na maelezo mazuri, sio watu hata kidogo, ni majambazi walio jihalalisha, ipo siku itatokea, jaribu kwani asie sikia la mkuu huvunjika guu.
Ni wapigaji wa watanzania wenzao. Wanasaidia kuendeleza umasikini miongoni wa watu, fikra zao za udanganyifu zimezidi mawazo ya watu wasio na hatia wenye nia ya kujiendeleza.
Kuendelea na biashara ya wizi kama wanayoifanya nafikiri kutakuwa na nguvu zagiza wanatumia kuificha serikali.
Epukeni na hili jambazi, walio jaribu na wakakaa kimya pengine wengi wao watakuwa wamejinyonga.

Bora mafisadi wa EPA mia mbili kuliko hili moja.

Jambazi hili jamani msijaribu!
 
Kero.
Naamini una kitu cha kutuleza ila unashindwa au unaogopa.
Huwezi kusema kitu fulani kibaya au kizuri bila kutoa sababu.
Easy finance yawezekana ni majambazi kama ulivyosema ila bila kufafanua hatuwezi kuamini na hutakuwa umetusaidia zaidi ya kututisha.
Eleza usihofu.jf - where we dare to talk openly
 
Hawa jamaa, wangekuwa nchi za kiarabu wangekuwa washanyongwa, walio jaribu wote watakuwa na maelezo mazuri, sio watu hata kidogo, ni majambazi walio jihalalisha, ipo siku itatokea, jaribu kwani asie sikia la mkuu huvunjika guu.
Ni wapigaji wa watanzania wenzao. Wanasaidia kuendeleza umasikini miongoni wa watu, fikra zao za udanganyifu zimezidi mawazo ya watu wasio na hatia wenye nia ya kujiendeleza.
Kuendelea na biashara ya wizi kama wanayoifanya nafikiri kutakuwa na nguvu zagiza wanatumia kuificha serikali.
Epukeni na hili jambazi, walio jaribu na wakakaa kimya pengine wengi wao watakuwa wamejinyonga.

Bora mafisadi wa EPA mia mbili kuliko hili moja.

Jambazi hili jamani msijaribu!

kero,

Naomba jaribu kutoa maelezo juu ya wizi ufanywao na Easy Finance kwa mapana kuwasaidia wana Jamii wengine wajue namna gani wanaweza kuukwepa wizi huo. Usiandike kwa kuwatisha ati 'sikio la kufa halisikii dawa' kwani huo si msaada kwao. Muhimu ni wewe kueleza namna wafanyavyo wizi wao na inaweza kuwasaidia wengi kung'amua kuwa malalamiko haya yana ukweli kwa kiwango gani.

Tafadhali mkuu
 
  • Thanks
Reactions: 911
Tatizo la watu wanapokuwa wanataka pesa za haraka haraka. Unapewa masharti yote ya mkopo bila kufichwa chochote unaweza kuyakubali au kuyakataa. Wapo wengi wanaosema kwamba mikopo ya EF imewasaidia sana katika biashara zao au matatizo mengine ya kifamilia. Vile vile kama shilingi ilivyo na pande mbili kuna akina kero ambao wanaona ni majambazi. Umekwenda mwenyewe kwenye ofisi zao ukapewa masharti ya mkopo ukayakubali, sasa kuanza kulipa pesa ya watu pamoja na riba yao unawaona majambazi!!!! Ulitaka uchukue mkopo usiokuwa na masharti yoyote!!! bure ghali kaka!!!! Kama uliona masharti ni magumu kwako ungechukua hamsini zako na kuyeya wala usingetakiwa kulipa hata senti tano kwa EF.
 
Huyo kero hana lolote,kama hana la kutuambia asianze kuharibu biashara za watu humu kwenye JF.Maana JF tunaongea openly na wala sio sehemu ya kuchafulia biashara za watu.Ningeomba moderators wafanye linalotakiwa kama huyu jamaa atashindwa ku substantiate maelezo yake maana hii sio forum ya kuchafulia watu biashara kama wanafanya responsibly.
Siwatetei hawa EasyFinance,ila nachelea kumuuunga mkono mtu ambaye anatisha watu bila kutoa sababu.Kama yeye alishindwa kusoma mkataba vizuri angewaona wanasheri wamsaidie kuusoma kabla ya kuusign.Maana mambo ya kibiashara kama uko serious ni lazima utaangalia implication za mikataba unayoingia,otherwise kila mtu anatafuta faida katika business.
Kama wewe ni muungwana,tunakuomba utoe maelezo ya kutosha kwa uwazi ili wana JF wapate ukweli na wajue wapi wanatakiwa kukopa if at all kuna ulazima wa kufanya hivyo.
Thank u
 
kero,

Naomba jaribu kutoa maelezo juu ya wizi ufanywao na Easy Finance kwa mapana kuwasaidia wana Jamii wengine wajue namna gani wanaweza kuukwepa wizi huo. Usiandike kwa kuwatisha ati 'sikio la kufa halisikii dawa' kwani huo si msaada kwao. Muhimu ni wewe kueleza namna wafanyavyo wizi wao na inaweza kuwasaidia wengi kung'amua kuwa malalamiko haya yana ukweli kwa kiwango gani.

Tafadhali mkuu

Nakuunga mkono kabisa Invisible.
Kwa kuangalia mabandiko ya hivi karibuni, kuna shutuma kadhaa zinarushwa kwa watu/taasisi bila takwimu zozote na hii inafanya JF ionekane kama mahali pa kutolea hasira kwa wale wenye chuki binafsi.Hii imepelekea kuwepo na mabishano makali baina ya wana JF hadi kuleta kero wakati mwingine.Slowly credibility ya hii forum itaanza kutiliwa mashaka.
Inabidi turekebishe hii hali.
 
JF haishuki credibility kwa hoja za wadau wenye malalamiko (yasiyo sahihi ama ya kuwachafulia majina wengine), ni endapo uongozi wa JF utazikumbatia hizo hoja na kuwa na misimamo ya wahusika.

Hatuko hivyo, mwenye dhamira ya kuchafua atachafuka mwenyewe na atajikuta anajisajili nick nyingine kukwepa aibu!

Kero kajisajili 23, Sept (jana) na naamini ana hoja zaidi, yawezekana ana maelezo ya kusaidia, asipuuzwe! Yawezekana pia ni mwenye nia ya kuitumia JF negatively, endapo itabainika hoja yake itafungwa na itaachwa wazi isomeke kwa wengine ambao wanaweza kudhani tunautumia ukumbi kushusha hadhi wengine (kuwachafulia majina) bila uthibitisho.

Ahsante ndugu yangu womenofsubstanc
 
I will die poor rather than stealing from Tanzanians through fake tricks and dubious ownership of fellow Tanzanians.
It is very complicated scenario when it come to explain may be one day I will ask God to substantiate. Good news is for those who can just believe, Bad is for those who can just ignore.
Sio Mbaya ni dlili za siku za mwisho, watu hawataamini kwani roho zao ni chakavu kwa ukali wa maisha.

Ni kero kubwa, ipo siku watagonga Bomu Litalipuka. Bubu ataongea kweli.

Ni zaidi ya ufisadi.
 
Tunaomba tujue ni njia gani Easy Finance ni matapeli na wanaliza watu lasivyo hii ipelekwe kwenye udaku....
 
Tunaomba tujue ni njia gani Easy Finance ni matapeli na wanaliza watu lasivyo hii ipelekwe kwenye udaku....
Mkuu CottonEyeJoe,

Inaelekea huyu kagongwa vibaya sana! Hadi anashindwa kujieleza kama anavyoonesha hapa chini:

It is very complicated scenario when it come to explain may be one day I will ask God to substantiate. Good news is for those who can just believe, Bad is for those who can just ignore.

Can lazydog please make things clear? We Dare To Talk Openly, haijalishi itawakera basi ukweli walau ujulikane mkuu. Pls lazydog
 
Wengine tukisikia tu uwa tunaamini, pengine tungeliona mapema hili

lazy dog
Easy finance wameshaliza watu, mbona ni habari za kitambo?!

Others don't need a proof to believe as it helps to serve time and concetration.

Don't try that one, it is very dengerous!
 
Back
Top Bottom