Easy buy africa

Uko salama lakini gharama zao mpaka kupata mzigo wako much better nunua straight from eBay, amazon na hizo nyengine kuliko kupitia kwa wakala huyu. Bidhaa ya 12$ nimejikuta nalipa laki mpaka kuupata. Wakati ningenunua mwenyewe kutoka ebay ingenigharimu si zaidi ya tzs 35,000
 
Bidhaa ya 12$ nimejikuta nalipa laki mpaka kuupata. Wakati ningenunua mwenyewe kutoka ebay ingenigharimu si zaidi ya tzs 35,000
Inashauriwa kufanya tafiti za ghalama kwanza kabla ya kufanya manunuzi.
 
Easy buy bidhaa ambayo ukiitafuta ebay ina $25 wao ina $40 na bado makato yao , kodi na uangalizi wa mzigo unakuta bidhada inafikia $ 70 au 80
 
Back
Top Bottom