Kwa mujibu wa hii list Ina maana kuwa makampuni mengine yaliyo ktk nchi nyingine lako below 10Hata mimi nimejiuliza hilo swali.Ila kwa kigezo hicho haishindikani kampuni zote kutoka nchi moja,Kenya ndiyo nchi kwanza yenye uchumi mkubwa kulinganisha na nchi zote za A.Mashariki.